Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi viclip unapata wapi
Ufaransa anakufaMechi ya sa4 sioni mlango wa kutokea kwa NED
Hivi viclip unapata wapi
Ok lakini inaonyesha hapo kue ni mpira kutoka pembeni unakuja ndani ya 18 katikati ya goliTatizo clip imegoma kuplayView attachment 3022492
Haya ndugu zetu wa pale GOMA msituangushe na leo 😀France XI: Maignan, Koundé, Saliba, Upamecano, Hernandez, Kante, Tchouameni, Rabiot, Dembele, Griezmann, Thuram
Subs: Samba, Areola, Pavard, Mendy, Camavinga, Giroud, Mbappe, Kolo Muani, Zaïre-Emery, Fofana, Coman, Clauss, Konate, Barcola
We endelea kutuwekea bwana. It's fun kuna wengine hawaangaliimKuna application ipo playstore inaitwa all football ,muda wa mechi hizo clips zinakuwepo home page
Utaumia mkuuHaya wekeni goal goal mapema msije sema sikuwaambia 🤣🤣🤣🤣
Tulia weweUtaumia mkuu