Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #2,981
HT
Watengeneza hela 1-0 Watengeneza Tambi.
Watengeneza hela 1-0 Watengeneza Tambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wao ni timu kubwa.Yaan ova hawajafungwa
Aisee mwamba!! 🤣🤣🤣Italia wana timu mbovu sana.
Umenipa upande mzuriHT
Watengeneza hela 1-0 Watengeneza Tambi.
Portugal pia...Italy
Belgium
Hawana kocha....
🤣🤣🤣Si kuwa Switzerland ana timu nzuri?
Pole sana. Endelea kulia huku unamoderate.
Belgium should stayItaly
Belgium
Hawana kocha....
Kuwa kocha wa Italia, ungepangaje kikosi?Italy
Belgium
Hawana kocha....
Jamaa limemkaba ikabidi aje kulimwaga kuwa wana timu mbovu
Belgium wabovu sanaBelgium should stay
Kwa mpira ule uliochezwa wawe makini wanaweza kuongezwa lingine.Lakini Italy hawatoki kizembe...Swiss wajikaze
Nataliwa nianze kwenye kuita maana nchi kama Italy inawachezaj wengi wanaofit kila mbinu...Kuwa kocha wa Italia, ungepangaje kikosi?
Italy na Portugal wana roho ngumuKwa mpira ule uliochezwa wawe makini wanaweza kuongezwa lingine.
KWeli hali mbaya hadi nyinyi mnacomment🤣Italia wana timu mbovu sana.
Sahihi.Uswisi wanacheza na mfumo wa 3-4-2-1
Wakati Italia akienda na 4-3-3
Kiungo cha Italia kinazidiwa mno.
Upande wetu wa ushindi.Umenipa upande mzuri