UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mvua kubwa halafu uwanja sio wa kufunika...mpira hautaenda vizuri wala kudunda
wajerumani watafanya tuanze kuwahisi wana nasaba za kitanzania. how come wanajenga uwanja usio wa kufunika. kitu kingefunga juu na mambo mengine yangeendelea.
 
uran Ruka na waarabu hawa
Nimejaribu sema imenidirect kwenye application nyingine nyingine tena.
Nimebaki na hii.
Game ni HT
Screenshot_20240629-224947.png
 
wajerumani watafanya tuanze kuwahisi wana nasaba za kitanzania. how come wanajenga uwanja usio wa kufunika. kitu kingefunga juu na mambo mengine yangeendelea.
Huo ni uwanja wa club haumilikiwi na serkali
Viwanja vya kufunika havipendelewi sana na mashabiki

Km unakumbuka ufaransa walijenga 98wakati wa world cup ila mashabiki hawakuonekana kupenda sana
 
Back
Top Bottom