Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boli linatembeaMoya moya
Hawa black wamepiga kaz...ndio waache ubaguzi
Vyombo vya habari vya uingereza sasa hiyo kesho!!!
Safari ndio imeishia hapoSasa itakuwaje Tunakutana na Waswisi
We angalia tamthilia za azam uko...mbona sijasema black wa belgiumacha kujishtukia mkuu, aliebaguliwa ni nani? watu weusi bana tuna shida sana
Sisi ama wao?Safari ndio imeishia hapo
We angalia tamthilia za azam uko...mbona sijasema black wa belgium
Tena Guehi anabahati sana...angekula lawama zote....munatia aibu kwa kweli, kazi kulalamika ubaguzi kila sehemu wakati nyinyi wenyewe ndio wabaguzi.
Ingiland 😆😆😆Sisi ama wao?
Lkn maisha ni kufurahia kwann wasifurahi wakati wameshindaJamaa wameifunga SLovakia tu hizo shangwe zao sio za kitoto.