UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

GOAL! Gakpo nicks in around the back and Malen scores! Romania 0-2 Netherlands
CgAGVWaEPCyAeoAFAC5zjtPOPx0523.gif
 
0 pp
Ni kweli, lakini makipa wengi wazuri huwa sio wazuri kwenye penalty
Kuna goalkeeper na keeper.

Goal keeper ndio kama Oback au Onana.

na keeper ndio wale wanaonyaka kama nyanda yaani wazuri sana kwenye penalties mfano wake ni yule William wa Mamelody na Mendy aliekua Chelsea.

Wao kwenye open play sio bora sana.
 
NImepitia highlights. Wale wapigaji wa slovenia matapeli
 
Back
Top Bottom