UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Wakati tunasuburi hiyo mitanange ya kukata na mundu hapo baadae, hebu tujikumbushe baadhi ya matukio mara ya mwisho timu hizi zilivyokutana kwenye knockout stage
1720180917381.jpg
 
Leo ndiyo leo.

Ile mechi mnasema ingefaa iwe fainali ndiyo itapigwa muda si mrefu kutoka sasa.

Ni Hispania vs Ujerumani. Nani kuibuka mshindi?

Twende pamoja muda wa saa moja kamili, saa za Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom