Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Yaani Mtu kaka Foden alitakiwa atoke muda mrefu aingie Alexander Anold coz anajua kuforce mashambuliziKocha msenge sana yule
Huyu Kocha ni wa kuondolewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Mtu kaka Foden alitakiwa atoke muda mrefu aingie Alexander Anold coz anajua kuforce mashambuliziKocha msenge sana yule
Acha uoga dogo. Moyonwako mwepesi kama wa kuku?Siangaliagi upuuzi unaioitwa Penalty
Na kweli ile ni ushindi wa kubahatisha tuSiangaliagi upuuzi unaioitwa Penalty
Wachezaji ni wazuri. Mbona kwenye clubd wanafanya vizuri? Tatizo no kocha. Ni bomu la nuklia.Aisee wadau tukienda na ule kweli Uingereza ni taifa stars ya ulaya, timu mbovu sana
Wachezaji wao ni very average na hata kocha wao mwenyewe yuko below average....
Wangemwacha Kane ili aanze yule ni Mr. Penalty, kukosa ni mwiko then aje Palmer...lakini kwa dizain hii dahENG hawana historia nzuri na matuta
Kuna mwaka walikutana na POR kama kumb. zitakuwa sawa walikosa wote
Anadribble tu sijui anaenda wapiEze ni mpuuzi..hana msaada..
Very selfish. Msenge sana