DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Hawa vibaraka wa Marekani na mayahudi leo wamepatikanaSio kila siku Jumatano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa vibaraka wa Marekani na mayahudi leo wamepatikanaSio kila siku Jumatano
Utasema chipukizi, kumbe veteranKuna mwamba jesus navas anakata umeme kinoma
Na ukizingatia ana yellow cardBado upande wa navas kuna shida, bila kumbadilisha Jesus navas Spain itapata shida sana
Mkuu huyo jamaa anavuja kinoma, huko ndio kwenye uchochoro. Bila kufanya mabadiliko Spain itakua kwenye risk kubwa ya kuruhusu goli la piliKuna mwamba jesus navas anakata umeme kinoma
😄😄Kuna mwamba jesus navas anakata umeme kinoma
Wewe jamaa ama unaangalia game ukiwa vyomboMkuu huyo jamaa anavuja kinoma, huko ndio kwenye uchochoro. Bila kufanya mabadiliko Spain itakua kwenye risk kubwa ya kuruhusu goli la pili
Jesus navas anawaangusha wenzakeNa ukizingatia ana yellow card
Navas kavuja mzee hajaangalia vema
Angalia vizuri, navas anavuja sana. Mbappe yupo freeWewe jamaa ama unaangalia game ukiwa vyombo
Wamtoe mapema, ashachoka mzee babaNavas kavuja mzee hajaangalia vema
Hapo alitakiwa kuwepo yule jamaa aliyekula red last game ndo angepambana na mbape vyemaAngalia vizuri, navas anavuja sana. Mbappe yupo free
Ndio namueleza hapo mdau mmoja, kwa Spain Leo navas ndio anawarudisha nyumaNavas kavuja mzee hajaangalia vema
Nikweli jamaa anapita tuAngalia vizuri, navas anavuja sana. Mbappe yupo free
Yes, angekuwepo carvajal France wasingekua wanashambulia hiviHapo alitakiwa kuwepo yule jamaa aliyekula red last game ndo angepambana na mbape vyema
Game kama hizi anaziweza sana Camavinga ngoja tuone second half
Upande wa navas Spain roho mkononi, alafu ndio yupo mbappeNikweli jamaa anapita tu
Sijui hakuna mbadala kwanini kocha hamtoi?Upande wa navas Spain roho mkononi, alafu ndio yupo mbappe