UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

😀 Timu Ipi Nzuri
Ukisema uweke mchezaji mmoja mmoja mezani England wachezaji wake wanauwezo mkubwa,ila muunganiko hawana.

Ukiwatizama Spain yaani ule Muunganiko, Flow wa timu,England hata mipango hawana. Kwa mechibya leo sioni kama watapata yale mazali waliyo ya pata robo na nusu.
 
65'

Kyle Walker (England) anapeleka mpira mrefu mbele kwa Ollie Watkins, lakini aliweka nguvu nyingi na nafasi hiyo imetoweka. Mpira uko nje ya uwanja na ni bao la Uhispania.
 
Back
Top Bottom