mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Wanahabar wa England wako standbay yaani wakiwin tu tutasoma mengiKama kawa mganga wa england kafanya yake...aise taifa stars inabidi tumsake huyu mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahabar wa England wako standbay yaani wakiwin tu tutasoma mengiKama kawa mganga wa england kafanya yake...aise taifa stars inabidi tumsake huyu mganga
Tayari, Jamaa Wana Kismart SanaUkisema uweke mchezaji mmoja mmoja mezani England wachezaji wake wanauwezo mkubwa,ila muunganiko hawana.
Ukiwatizama Spain yaani ule Muunganiko, Flow wa timu,England hata mipango hawana. Kwa mechibya leo sioni kama watapata yale mazali waliyo ya pata robo na nusu.
Hatutaishi kwa amani nakwambiaWanahabar wa England wako standbay yaani wakiwin tu tutasoma mengi
🤣🤣bao zipi?Mie nilinua tuu spain kushinda hii mechi lazima apige bao mbili
Dakika ya tisini england anamalizaItabidi twende extra kisha penati penati warudie wachezaji wote kama raundi tatu hivi ndio mshindi apatikane ilikusudi ikiisha hii tugeuke kwa Greatets Of All Time Messi na Argentina yake!!🤣🤣
Moja england anarudigi bwana...tena ajiangalie anaweza pigwa lingine kuanzia dakika ya 85...ndio mida ya england hiyo🤣🤣bao zipi?
Unakosea sana kutuletea mambo ya andunje..Argentina🔥🔥🔥
Argentina kule 100% guarantee.Imagine hapa achukue England baadae Argentina🔥🔥🔥
Greatest Of All TimeUnakosea sana kutuletea mambo ya andunje..