UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

Kila mtu hataki kukutana na Barca, cha msingi ni kusubiria tu tuone matokei ila mimi naamini Liverpool mwisho wake ndo umewadia.
 
Hii Madrid ilopigwa na Tot?
 
Yeyote atakayepangwa na barca safari yake inaishia hapo
Ila nawataman man city maana wanawaonea wenzao sana
 
Man city akikutana na barca anapigwa tena asubuhi tu bora Liverpool anaweza akaonesha upinzani kwa soka lake lenye kasi. Vile vipasi vya man city vitakuwa vikinaswa tu na wakina Iniesta.
 
Man city hawezi kumtoa Barcelona coz amecopy style ya Barcelona na hapo ndipo itakapojulikana original na fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…