UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

Mimi nadhani wapo sawa kwa kuangalia idadi ya mechi za Champions League alizocheza na mchango wake kwa nafasi aliyokuwa anacheza. Ronaldo Lima ni bonge la striker, lakini amefunga magoli machache na amecheza mechi chache za champions league. Kazi ya mshambuliaji wa kati ni kufunga magoli, ukiangalia orodha ya wafungaji wa muda wote wa champions league, Ronaldo de Lima hayupo hata 5 bora

Dinho anakaa benchi nanikasema?
 
Duh!hiyo timu gaucho ana choma mahindi timu gani hiyo?kuna effenberg Paul Scholes de Piero Juan veron na Juan roman requeme siwaoni hapo.

Hata mm nashangaa gaucho kuchoma mahindi hao watakuwa wamechemsha2 pamoja na list yao. wamechemsha
 
Mabeki kina Stam, Roberto Carlos, Hiero; Viungo kina Davis, Becks; forward matata De Lima, etc. Hicho kikosi ambacho zidane anawekwa sub hakina validity.
 
UEFA imetangaza orodha ya wachezaji 18 walio bora zaidi kuwahi kucheza katika ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Kwa mujibu wa orodha ya wachezaji 18 bora kucheza katika Champions League inajumuisha Wahispania 5, wachezaji 2 kutoka kila nchi za Brazil, Uingereza, Ufaransa na Italia, mchezaji mmoja kutoka Ujerumani, Czech Republic, Uswizi, Ureno na Argentina.

Katika 11 bora Ilker Casillas analinda lango.

Safu ya Ulinzi inashikiliwa na Sergio Ramos, Carlos Puyol, Alessandro Nesta na Philipp Lahm.

Viungo bora waliochaguliwa ni Steven Gerrard, Andres Iniesta na Xavi Hernandes.

Safu ya washambuliaji inashikiliwa na Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Thierry Henry.

Katika wachezaji saba mbadala waliokamilisha orodha ya wachezaji 18 bora ni Zinadine Zidane, Zlatan Ibrahimovic, Gianluigi Buffon, John Terry, Pev Nedved na Wabrazil Kaka na Ronaldinho.
attachment.php

Chanzo: michezo365

Huu upvmbavu sasa, eti Dinho na Zizzou wanaanzia benchi.
 
Mimi nadhani wapo sawa kwa kuangalia idadi ya mechi za Champions League alizocheza na mchango wake kwa nafasi aliyokuwa anacheza. Ronaldo Lima ni bonge la striker, lakini amefunga magoli machache na amecheza mechi chache za champions league. Kazi ya mshambuliaji wa kati ni kufunga magoli, ukiangalia orodha ya wafungaji wa muda wote wa champions league, Ronaldo de Lima hayupo hata 5 bora

Raul vipi? Yaani Chogo anamkalisha Raul?
 
Wabongo kama kawaida yetu...kulalamika tuuu. Kwanza! Hiyo ni UEFA, sio CAF, pili.....hayo ni mawazo ya makocha ya virabu mbalimbali wasasa na wazamani, hivyo kama mnaona haifai kakateni rufaa, mnaowataja ni bora ila mjue kuwa hawawezi kujaa wote hapo
 
thiery henry mnyama,,, nenda kawaulize madrd watakupa historia yke,, c mchozo aiseeeee
 
hahahahah Gerrad kwenye ubora wake anamuweka zizzou bench, hii list ni kituko
 
Bwahahahahaaaa! Hyo ni yako. Huwezi ukamwacha beki Franz Bechnabeur*....
Alafu pia mi naona hao wachezaji wote ni wa juzi. NA wanaosema De Lima yupo wapi, wakumbuke De Lima hakushinda uefa
 
UEFA imetangaza orodha ya wachezaji 18 walio bora zaidi kuwahi kucheza katika ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Kwa mujibu wa orodha ya wachezaji 18 bora kucheza katika Champions League inajumuisha Wahispania 5, wachezaji 2 kutoka kila nchi za Brazil, Uingereza, Ufaransa na Italia, mchezaji mmoja kutoka Ujerumani, Czech Republic, Uswizi, Ureno na Argentina.

Katika 11 bora Ilker Casillas analinda lango.

Safu ya Ulinzi inashikiliwa na Sergio Ramos, Carlos Puyol, Alessandro Nesta na Philipp Lahm.

Viungo bora waliochaguliwa ni Steven Gerrard, Andres Iniesta na Xavi Hernandes.

Safu ya washambuliaji inashikiliwa na Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Thierry Henry.

Katika wachezaji saba mbadala waliokamilisha orodha ya wachezaji 18 bora ni Zinadine Zidane, Zlatan Ibrahimovic, Gianluigi Buffon, John Terry, Pev Nedved na Wabrazil Kaka na Ronaldinho.
attachment.php

Chanzo: michezo365

Raul Gonzales yupo wapi hapo.... sio kweli, listi haiwez kukamilika bila huyo mtu.. Beckham wapi, Dida je anakosekana vp hapo
 
Gerrad>Seedorf, Pirlo
terry>Cannavaro, Hiero, Thiago Silva, Maldini,
henry>Raul, De lima, Del piero
 
Back
Top Bottom