UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Kweli zamani mm
 
Liverkusen ile iliyofika finally na Madrid na kufungwa kwa tabu gori moja la maajabu na Zidane, Kitasa Lucio, Michaek Ballack kwenye kiuongo, unaoona mpira uliojaa aina zote za udambwi, kuanzia mpira wenyewe, uwezo binafsi, bila kusahau ubabe!
Kulikuwa kuna mwamba ze robeto
 
Madrid ya kina De Lima ilikuwa ya wanaume haswa. Na kipindi hicho timu pinzani hasa hizi kubwa zilikuwa ni za kiume haswa,so isingekuwa easy kuwika kama hii ya kina cr7 ambapo Madrid wao waliwekeza kisawasawa ilihali wapinzani wapo kawaida tu
Iyo Madrid haikubeba uefa hata moja. (Kama nitakuwa niko sawa)
 
Noma sana hii
 
Mbona Theo Walcot alicheza na hao kina Ferdinand ?
 
hata uefa ya msimu uliopita ilikua bora kuanzia hatua ya 16 na ilikua haitabiriki kama man u angemtoa PSG na liverpool angechukua ubingwa na hakuna alie tambua kama real madrid wangeenda kutolewa amsterdam na ajax au juve watolewe na ajax na tot amtoe mancity afu tot huyohuyo kwenda kumtoa ajax palepale amsterdam. au liva kumtoa bayern na liva kwenda kupindua matokeo kwa barcelona na kuna watu mpaka leo awaamini kama liva alimtoa barcelona. uefa iliyopita soka lilipigwa wakuu tuwe wawazi tu.
 
kauli za kisiasa hizo,messi alikua anamfuata gaucho club,barcelona wakaona atamuharibu,wakamuuza..yaani messi alikua anakoshwa na mnyama mpaka anamfuatafuata kama mkia
Hizi habari za vijiwe vya kahawa sijui mtaacha lini. Tafuta popote sababu za gaucho kuondoka hutokutana na sababu yako hii. Aidha utaambiwa alitibuana na kocha au yeye mwenyewe aliamua kuondoka
 
[emoji2] [emoji2]
 
Kama messi hawezekaniki barca wasingekua wanatolewa kifala uefa consecutive, NB usiwasingizie wenzake (teammates) kwani wao wana zuilika
Hakuna mchezaji asiyezuilika,ila kuna mchezaji mzuri ambaye unaweza ukamuwekea mlinzi mmoja na akatosha kabisa na kuna mchezaji mzuri ambaye ili umdhibiti inapaswa kuwe na wachezaji zaidi ya wawili ndio wammudu ambao ndio Messi na Maradona.
 
Iyo Madrid haikubeba uefa hata moja. (Kama nitakuwa niko sawa)
Sawa ila bado naamini ndiyo timu ilokuwa na vipaji na wapambanaji kweli. Ugumu ulikuwa ni kutoka na na timu nyingi zilikuwa na wachezaji wazuri sana na wapambanaji pia.
 
ahahahaha uwe muelewa ozil alimpigia assist nyingi saana ronaldo msimu hule kuliko mchezaji yeyote.
Huyo CR7 ni selfish sana na ndiyo maana anasema hayo. Yeye mchezaji yeyote atakayecheza kwa ajili yake lazima amuone wa maana sana.
 
Pia mwambie huyo kuwa mpaka sasa ni Ronaldinho ni Mchezaji pekee aliepata standing ovation pasipokucheza match.


Naomba uambatanishe mafanikio yao hapa, Messi na Gaucho! Maana mmeshupalia alikuwa fundi πŸ˜€ ufundi wake umeipatia mafanikio gani timu yake zaidi ya kuruka ruka na kupiga watu kanzu hayo ndio mafanikio katika timu mkuu!!! Kama ni skills, dribbling, playmaker, goals scorers, freekicks na maudambwi yote + mafanikio Messi is everything...Gaucho nimemfuatilia hata kwa Zidane, Iniesta na Cr7 ni kimeo tu hana lolote unampamba tu..sembuse Messi anaeshindanishwa na akina Maradona na Pele!!! Kuwa serious Wanjiru!

Ukija kwenye magoli katika career zao jamaa yako kafunikwa vibaya sana, ila unaona aibu kuyaanika hapa...hata jamaa yako hapo juu ameshindwa kuweka ukweli badala yake akaamua kanitukana,it's okay...

Okay mimi nitakusaidia mkuu πŸ‘‡

Gaucho kaanza kucheza 1998 na kumalizia soka lake huko brazil mwaka wa 2015 na magoli yake ni kama yafuatayo.

Gaucho Mechi 717=Magoli 280 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Messi Magoli 828=Magoli 672 😍😍😍Just think mpaka anastaafu huyu kiumbe unategemea atakuwa na magoli mangapi katika career yake!!!

GAUCHOπŸ‘‡
Kwa miaka yote 10 kazitumikia hizi klabu alizocheza PSG+BARCELONA+AC MILAN ana vigoli 145 πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya huko nchini mwao brazil kwenye ligi nyepesi ameshindwa kutamba kwa miaka 7 na kuambulia vigoli 135, si aibu jamani πŸ˜‚πŸ˜‚


Tatizo la wabongo mlishakaririshwa kitu cha zamani ni bora kuliko cha sasa..hayo ni magari/Vipuri jamani ni tofauti na sisi binadamu.. Binadamu hatubadiliki tuko vile vile ni vipaji tu kutoka kwa Mungu anampa amtakae..Hivyo Wanjiru mkubali tu Messi na Maradona ni namba zingine hizi πŸ˜€

Cc G_real
 
Mkuu si nilikuonya kuwa bange sio nzuri????

Ona sasa aibu gani hii,,,

Hahahahahahahah
Sasa unabisha mkuu ..wee unadhani baada ya apo final zote za uefa zilizofuata, kuna ata moja ilifika level za ile ya Chelsea na Buyern?? Ile final nadhani kama uliyona utakuwa upi enjoy tu ..hauna namna[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…