UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Hili suala niliongea na mtu juzi kwa muuliza hivi huu mpira unapanda au unashuka? Ukiangalia timu y brazil miaka ya nyuma golini kuna tafalel.kushoto caros kulia cafu.kati dunga.mbele bebeto.rivaldo.ronaldo..romalio hebu cheki hao watu wote wapo kikosi kimoja kwa wakati mmoja..wakati huo pesa haikuwa kila kitu kwenye mpira..tofauti na sasa wengi waliocheza mpira kipindi hicho walichezea vipaji na mapenzi yao kwa mchezo..hata academy ukionekana na kipaji uliingia bure..sasa hivi wazazi wanapush watoto wacheze kufuata pesa ndiyo tunayopata sasa hiyo hata hapa kwetu ndiyo hivyo hivyo pamoja kuwa kila zama na Nabii wake..mpira wa sasa tofauti na zamani angalia hivi Neymar angepiga mpira mbele ya gattuso.maldini au nesta? Hapo kati kuna canavaro..
Giovan Eibar alikosa namba brazil hii dunia ilijaa wachezaji
 
Daa kweli aise nikikumbuka mechi ya mtoano mwaka 2003, Manchester United ya akina Rio Ferdinand, Wes brown, David Beckham, Van Nestroooy, nevel brothers, Nick Batt, Fabian Bathez dhidi ya Real Madrid ya kina Claude Makele, Ronald9, Zinedine Zidane, Ruis Figo, Raul Gonzalenz, Roberto Carlos, Ika Casilas, kwa kweli nauona usiku wa Ulaya ukiwa unapoteza radha, Sasa tunaenda kumuangalia Mason Mount badala ya Frank Lampard, Jesse Lingard badala ya Ricardo Kaka, Jordan Henderson badala ya Genarro Gatuso, Michael Ballack Lucas Versques Karim Benzema badala Van Nestroooy, Andre Shevchenko, Didier Drogba, De Lima. Eti Leo Erick Bailly, Fikayo Tomori wanacheza UEFA wakati sisi tulizoea kuwaona Lucio, Ferdinand, Vidic, Soul Camplel, Allesandro Nesta, Jap Stam, John Terry, Ricardo Cavalho e.tc unaweza kuona hapa tulikuwa tunaenda kuangalia vitu viwili, kwanza Mpira wenyewe kwa ujumla, lakini pia Battle ya mtu mmoja na mwingine, yaani Zidane anavotoana jasho na Paul Scholes, au Genarro Gatusso( kaangalie mechi ya Nusu fainali 2003 Juventus anakufa 3-0 Santiago Bernabeu, halafu Madrid anakuja kufa 4-0 pale Turin), Rio Ferdinand anavokabana koo na Ronald9, nyie acheni bana, Sasa hivi unaweza ukawa unaangalia mpira ukajikuta hata hunconcertrate kwa sababu tu ya mbwembwe za Kidukulilo, miaka hiyo mpira unapigwa kika sekunde lazima ukoncerntrate!
Pavel nedved.
 
Mapafu ya Mubwa huyu mtu, Juventus moja hiyo!
Hatari sana
images%20(28).jpeg
images%20(31).jpeg
 
Unakimbia nini kuzungumzia mafanikio kwenye World Cup?
Muda wote huo amecheza Barca je atakumbukwa kwa lipi? Maana unasifia tu ufundi wake, ila achievement zake huongelei..refers to the records and statistics!

Uefa ana ngapi?

La liga?

Copa del-rey?

Supercopa de espana?

Fifa club w/c?

Uefa super cup?




Gaucho ni chotara..so huwezi kumweka kwenye kundi la blacks..ni kama Carlos baca, Vidjik na Nikolas maidana mwargentina huyu, huwezi kusema ni blacks hawa.
 
Muda wote huo amecheza Barca je atakumbukwa kwa lipi? Maana unasifia tu ufundi wake, ila achievement zake huongelei..refers to the records and statistics!

Uefa ana ngapi?

La liga?

Copa del-rey?

Supercopa de espana?

Fifa club w/c?

Uefa super cup?




Gaucho ni chotara..so huwezi kumweka kwenye kundi la blacks..ni kama Carlos baca, Vidjik na Nikolas maidana mwargentina huyu, huwezi kusema ni blacks hawa.
Chotora ni sisi tunawaita hivyo, ila kwa wazungu hao ni blacks, hujiulizi Obama alikuwa anahesabika ni raisi mweusi??
 
Kila time na moments zake. Kila Eufa ni nzuri kwa kipindi chake. Sijui Messi angempita Gatusso hutakaa upate jibu maana kila mmoja kacheza wakati tofauti.
Enjoy soccer Bwana. Tukutane tarehe 22/10,23/10.Fainali yangu ya kwanza kuangali ni pale Man united walifanya come back na ndo chanzo mimi kuwa shabiki wa Man united. Sijaacha kuangalia UEFA CL tokea kipindi hicho na ninaenjoy kila moments.
Messi hata kina gatusso wawili wasingeweza. By the way sijui ni kwa nini huwa mnamsifia sana Genaro wakati alikuwa Wa kawaida. CR7 ndio alimpa ujiko huyo mchezaji
 
Zamani kulikuwa na wanaume sasa hivi ukiondoa Messi pengine kidogo na CR7 kuna vijivulana tu
 
Back
Top Bottom