OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hakuna final mbovu kuhawi kutokea kama ile ya Liverpool na Spurs...Hahaha daah hapana mkuu
This was the worst final ..iliyowahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna final mbovu kuhawi kutokea kama ile ya Liverpool na Spurs...Hahaha daah hapana mkuu
Makosa ndo utamu wa football.Hata mpira wa sasa ni mtamu ila VAR ndio ina haribu radha.
Giovan Eibar alikosa namba brazil hii dunia ilijaa wachezajiHili suala niliongea na mtu juzi kwa muuliza hivi huu mpira unapanda au unashuka? Ukiangalia timu y brazil miaka ya nyuma golini kuna tafalel.kushoto caros kulia cafu.kati dunga.mbele bebeto.rivaldo.ronaldo..romalio hebu cheki hao watu wote wapo kikosi kimoja kwa wakati mmoja..wakati huo pesa haikuwa kila kitu kwenye mpira..tofauti na sasa wengi waliocheza mpira kipindi hicho walichezea vipaji na mapenzi yao kwa mchezo..hata academy ukionekana na kipaji uliingia bure..sasa hivi wazazi wanapush watoto wacheze kufuata pesa ndiyo tunayopata sasa hiyo hata hapa kwetu ndiyo hivyo hivyo pamoja kuwa kila zama na Nabii wake..mpira wa sasa tofauti na zamani angalia hivi Neymar angepiga mpira mbele ya gattuso.maldini au nesta? Hapo kati kuna canavaro..
Namic sana CUF hakuna back kisiki atatokea ukiangalia alves ashaaza potea kidogo kama alitaka awe CUF namba mbili ya ac milano na brazil
porto v monaco ilikua nzuri?Hakuna final mbovu kuhawi kutokea kama ile ya Liverpool na Spurs...
This was the worst final ..iliyowahi kutokea.
Pavel nedved.Daa kweli aise nikikumbuka mechi ya mtoano mwaka 2003, Manchester United ya akina Rio Ferdinand, Wes brown, David Beckham, Van Nestroooy, nevel brothers, Nick Batt, Fabian Bathez dhidi ya Real Madrid ya kina Claude Makele, Ronald9, Zinedine Zidane, Ruis Figo, Raul Gonzalenz, Roberto Carlos, Ika Casilas, kwa kweli nauona usiku wa Ulaya ukiwa unapoteza radha, Sasa tunaenda kumuangalia Mason Mount badala ya Frank Lampard, Jesse Lingard badala ya Ricardo Kaka, Jordan Henderson badala ya Genarro Gatuso, Michael Ballack Lucas Versques Karim Benzema badala Van Nestroooy, Andre Shevchenko, Didier Drogba, De Lima. Eti Leo Erick Bailly, Fikayo Tomori wanacheza UEFA wakati sisi tulizoea kuwaona Lucio, Ferdinand, Vidic, Soul Camplel, Allesandro Nesta, Jap Stam, John Terry, Ricardo Cavalho e.tc unaweza kuona hapa tulikuwa tunaenda kuangalia vitu viwili, kwanza Mpira wenyewe kwa ujumla, lakini pia Battle ya mtu mmoja na mwingine, yaani Zidane anavotoana jasho na Paul Scholes, au Genarro Gatusso( kaangalie mechi ya Nusu fainali 2003 Juventus anakufa 3-0 Santiago Bernabeu, halafu Madrid anakuja kufa 4-0 pale Turin), Rio Ferdinand anavokabana koo na Ronald9, nyie acheni bana, Sasa hivi unaweza ukawa unaangalia mpira ukajikuta hata hunconcertrate kwa sababu tu ya mbwembwe za Kidukulilo, miaka hiyo mpira unapigwa kika sekunde lazima ukoncerntrate!
Mapafu ya Mubwa huyu mtu, Juventus moja hiyo!Pavel nedved.
Great robbery in football history ni Final Kati ya Chelsea na Barcelona from that moment I hate Barça dogs
SahihiCAFU
Huyo ronardo potigo,simdau wajinsia moja,kwahyo anamtamani na ozilAcha kauli tata
Yeah thanks for reminding me nimechanganyaIt was semi final not final match
Muda wote huo amecheza Barca je atakumbukwa kwa lipi? Maana unasifia tu ufundi wake, ila achievement zake huongelei..refers to the records and statistics!
Uefa ana ngapi?
La liga?
Copa del-rey?
Supercopa de espana?
Fifa club w/c?
Uefa super cup?
Gaucho ni chotara..so huwezi kumweka kwenye kundi la blacks..ni kama Carlos baca, Vidjik na Nikolas maidana mwargentina huyu, huwezi kusema ni blacks hawa.
Chotora ni sisi tunawaita hivyo, ila kwa wazungu hao ni blacks, hujiulizi Obama alikuwa anahesabika ni raisi mweusi??Muda wote huo amecheza Barca je atakumbukwa kwa lipi? Maana unasifia tu ufundi wake, ila achievement zake huongelei..refers to the records and statistics!
Uefa ana ngapi?
La liga?
Copa del-rey?
Supercopa de espana?
Fifa club w/c?
Uefa super cup?
Gaucho ni chotara..so huwezi kumweka kwenye kundi la blacks..ni kama Carlos baca, Vidjik na Nikolas maidana mwargentina huyu, huwezi kusema ni blacks hawa.
Messi hata kina gatusso wawili wasingeweza. By the way sijui ni kwa nini huwa mnamsifia sana Genaro wakati alikuwa Wa kawaida. CR7 ndio alimpa ujiko huyo mchezajiKila time na moments zake. Kila Eufa ni nzuri kwa kipindi chake. Sijui Messi angempita Gatusso hutakaa upate jibu maana kila mmoja kacheza wakati tofauti.
Enjoy soccer Bwana. Tukutane tarehe 22/10,23/10.Fainali yangu ya kwanza kuangali ni pale Man united walifanya come back na ndo chanzo mimi kuwa shabiki wa Man united. Sijaacha kuangalia UEFA CL tokea kipindi hicho na ninaenjoy kila moments.
Hiyo mechi ndiyo ilompa gatusso umaarufu,vinginevyo jamaa ni mchezaji Wa kawaida sana na asiye na kipajiKama alivobanwa ronaldo junior na gatuso ,hadi kadi nyekundu dogo alipewa