UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Madirid si alibebwa bebwa tu..
 
Mtu kucheza zamani haimaanishi yeye ni bora kuliko wachezaji wa sasa tunaangalia statistics zao na hao unaosifia kisa wa zamani tu kwa uefa sina shaka na Ronaldo hata ukimlinganisha na. hao wa zamani

Mkuu football sio statistic, hayo mambo ya statistic yamkuja juzi na moja ya maajabu ya huu mchezo wa sasa.

Kwa vigezo vya statistic Basi Henry atakua ni bora kuliko Zidane.
Giroud ni bora kuliko Zidane, Platini.
Thomas Muller ni bora kuliko Klinsmann, Matthaus

Zinduka Dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…