OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Madirid si alibebwa bebwa tu..Kusema Real Madrid kachukua back to back uefa eti kisa vilabu vingine sio bora si kweli kuna vilabu vingi vimeshindwa fanya hivyo katika zama hizi Mfano, Barcelona,Juventus,Atletico,Bayern usifosi tuamini kuwa timu zimekuwa nyepesi kwahiyo ni madrid pekee ndio imebaki timu ngumu ulaya hadi ionee wengine na kwa uelewa wako kuanzia mwaka gani unahisi uefa imeanza kuwa nyepesi?