UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

kumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?
mkuu tambua messi ni top score barca na messi huyo huyo ni top assist barca na asilimia kubwa wachezaji wengi wenye wanamambo mengi uwanjani yaani vyenga vingi hawana mafanikio saana kisoka ndomana ronaldo na messi hayo mambo wanayaweza lakini wameyaweka pembeni.
 
messi hawezi vyenga acha uongo,messi anachojua ni kile kitu tunafundisha watoto kupitisha mpira baina ya koni,na anafanya kitu kilekile kwa kurudia kwa kuwa ni mgonjwa wa autism,gaucho aliondolewa barcelona kwa hofu ya kumuharibu messi,alianza kumpeleka club..gaucho kacheza barcelona miaka michache
 
Kiukweli siku hizi soka hakuna ladha kabisa sababu mpira mwingi ni wa darasani badala ya mpira wa vipaji.

Liverpool vs AC Milan 2005 ni ushahidi tosha kabisa,

Hata kombe la dunia nalo ni hivyo hivyo na sidhani kuanzia 2002 au 1998 utalinganisha na soka la sasa hivi kwa akili na ufundi mwingi wa vipaji tofauti na ndiyomaana hata wakati wa kuchagua mchezaji bora ilikuwa ni vigumu sana kujua aliyekuwa akistahili tofauti na sasa hivi.
 
Huyo Jamaa hakushuhudia vyenga na kanzu alizokuwa akipiga Rinaldinho Watu wa4 wa4 tena si kwa kubahatisha bali mara nyingi tu ndiyomaana anazuzuka na mahaba niue kwa Messi [emoji23]
 
ndo soka la wa brazil vyenga vingii afu naomba unisaidie hili mkuu hivi jay okocha na gaucho nani alikua mkali wa vyenga.
 
Huyo Jamaa hakushuhudia vyenga na kanzu alizokuwa akipiga Rinaldinho Watu wa4 wa4 tena si kwa kubahatisha bali mara nyingi tu ndiyomaana anazuzuka na mahaba niue kwa Messi [emoji23]
mkuu hayo mambo hata neymar kayafanya saana.
 
mkuu soka ni rekodi hivi ronaldinho kamzidi nini messi barca. afu mpira usiwe unaangalia vyenga tu


Messi kamzidi kila ki2 gaucho ktk soka, ukitaka ushaidi upo gaucho mwenyewe kakiri Messi is better than me.halaf mmbongo anakuja kubisha kisa hampendi mesi.
 
ndo soka la wa brazil vyenga vingii afu naomba unisaidie hili mkuu hivi jay okocha na gaucho nani alikua mkali wa vyenga.
gaucho ana-improvise vyenga,na vyenga na consictent..haangalii anampiga nani vyenga hata game ngumu kiasi gani..okocha anapiga vyenga ambavyo wakati mwingine hawezi kuvirudia lakini si mara kwa mara
 
yah mkuu vyenga vingi afu stts zao hazieleweki jay jay okocha alikua anapiga vyenga saana
hazieleweki ana uefa,la liga,world cup,copa america sijui na burudani juu..wakati gaucho anacheza unenda kutazama game si kwa kuwa mshabiki wa barce bali unafuata ufundi wa gaucho,sasa uangalie la liga kumtazama messi ana nini!?..hana utamu wowote..kukimbia na mipira hovyo kuwahi mbele,na vitu vile vile tangu alipoifunga man goli la kichwa 2009
 
daah mkuu humjui messi wewe sema mambo mengine ni utoto anaacha tu ndo yanayo mpoteza neymar.
 
ahaa we mpira unaangalia vyenga tu
 
daah mkuu humjui messi wewe sema mambo mengine ni utoto anaacha tu ndo yanayo mpoteza neymar.
yaani mi simjui messi!!!?..namtazama tangu anajaribujaribu timu ya taifa 2006,hawezi kufanya vitu vya neymar,hajaumbwa hivyo,messi ni mtu mwenye kasi tu kuliko wenzake,anachofanya kwa sekunde moja wenzake wanafanya kwa moja unusu,hana ufundi wa neymar,tatizo la neymar mpira kazi hawezi,gaucho unapigwa mpira kazi na burudani humohumo
 
ahahaha sawa mkuu naona hatuelewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…