Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Lakini pia soka la sasa vipaji vinaporeza nafasi yake uwanjani sasa hivi ufundi wa mwalimu ndiyo unaodictate mchezo
zamani timu nyingi zilikuwa na uwezo wa kuwamiliki wachezaji wenye vipaji ndio maana haikuwa ajabu kuzikuta timu kama bayern leverkusen, valencia, dortmund, fiorentina, stuttgart, deportivo na nyenginezo kujaza mastar kwenye timu zao jambo lililopelekea kuzidi kwa ushindani wa timu.
kwa ufupi hapakuwepo na utofauti mkubwa sana ndani ya uwanja kati ya tabaka tajiri na tabaka masikini.
nyakati hizi hali imekuwa tofauti kwa sababu timu zenye kipato ndio zenye nguvu zaidi ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ndio maana si ajabu kukuta timu moja inafuzu robo final ya champions league miaka 6 mfululizo.
huwezi kumkuta mchezaji kama sebastian veron anachezea timu kama lazio kwa sasa.
View attachment 1229406