Uekezaji kwenye bodaboda

Uekezaji kwenye bodaboda

Habari za usiku ndugu zanguni,,,
Ngoja niende direct to the point.
Nataka kuwekeza kwenye bodaboda ila ni buashara ambayo sijawahi kumfanya wala kuiwaza.
Kuna jamaa mmoja kanishawishi ninunue pikipiki yeye ataniunganisha na dereva. Kila wiki nakula 70. Mkataba ni mwaka mmoja. Naomba yeyote mwenye utaalam na hii biashara anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza pikipiki Laki 5 na Desktop laki 1
Nicheki mapema 0769017151
Napatikana Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama huna cha muhimu cha kufanya na pesa yako iweke benki ukae ufikiri vzr, hivi kwanza unaanzaje kuiita shughuli ya boda boda eti ni biashara!
ha ha ha ha ha hawa vijana ni pasua kichwa ila nazani ni sababu ya elimu ndogo waliokua nayo bodaboda ni biashara kichaa hutakaa upate faida
 
Back
Top Bottom