medicine
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 216
- 137
Nauza pikipiki Laki 5 na Desktop laki 1Habari za usiku ndugu zanguni,,,
Ngoja niende direct to the point.
Nataka kuwekeza kwenye bodaboda ila ni buashara ambayo sijawahi kumfanya wala kuiwaza.
Kuna jamaa mmoja kanishawishi ninunue pikipiki yeye ataniunganisha na dereva. Kila wiki nakula 70. Mkataba ni mwaka mmoja. Naomba yeyote mwenye utaalam na hii biashara anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki mapema 0769017151
Napatikana Dar
Sent using Jamii Forums mobile app