pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Habari za wakati huu mashabiki wa kandanda Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla.
Nchini kwetu tumebarikiwa kuwa na league bora na yenye ushindani kushinda zote afrika mashariki ila Simba na Yanga wakiwa wakubwa katika kulitangaza soka la Tanzania japokuwa baadhi ya mashabiki wa hizi team ni bendera fuata upepo hasa wa yanga kwasababu zifuatazo:‐
Mashabiki wa Yanga kwenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na Simba huo ni umbumbu wa hali ya juu kutokea kwa mashabiki hao.
Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.
Kukubali na kuaminishwa kuwa wameshinda treble wakati kisheria wameshinda makombe mawili maana lile la ngao ya jamii halihesabiki kama ni kombe maana sio competition ni mechi ya ufunguzi tu.
Kudanganywa kuwa team yao haianzi hatua ya awali katika CAF is league na wakakubali mpaka walipofafanuliwa vizuri na mashabiki wa Simba SC.
Kumpokea Manara licha ya kuwatukana na kuwakejeli alipokuwa Simba na kusema mashabiki wa Yanga wenye akili ni mzee Kikwete na babaake Manara tu.
Kumponda kocha wa Simba kuwa huduma na team wakasahau kocha wao wa Yanga hajawahi kudumu kwa zaidi ya miezi sita kwenye team huku Yanga ikiwa team ya kwanza kwa kocha Nabi kuhudumu kwa muda mrefu.
Kuponda kila kitu kinachoanzishwa na Simba na Yanga baadae wanaiga kwa kufanya walichokuwa wanaponda mfano (SIMBA DAY,UJENZI WA UWANJA,MFUMO WA MABADILIKO WA UENDESHAJI TEAM. NK)
Kwenda airport kuwabeba wachezaji waliosajiliwa na team yao pamoja na mwenyekiti wao ambaye sasa ni Rais wa club ndugu zangu wenye akili timamu hawawezi kufanya hayo.
Kushangilia usajili wa wazee katika club yao wakati huo huo wanataka kufanya vizuri Kimataifa wakisahau kuwa vijana ndo nguzo muhimu katika soka la sasa huku wakiwaponda Simba wakisajili vijana wakidai akili zao hazijakomaa hawaoni ulaya kule,
MAN CITY, BARCELONA NA REAL MADRID wamejaa watoto kibao hiyo yote ni kwa malengo ya muda mrefu sio mnaokata wachezaji waliokosa team ambao hawajacheza muda mrefu ndo mnasajili kweli Manara na Lucy Aymel hawakukosea kuwaita nyani na mazuzu.
Nawakumbusha tu wana Yanga kimataifa kule hakuna mkuu wa wilaya wala mkuu wa mkoa anayeahidi kuwapa million 10 wachezaji wakiifunga SIMBA.
NB: Yanga ikishinda hata mechi moja kimataifa mje mnikamate nimekaa pale kwenye maduka ya Simba Kkoo.