goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Ulikuwa chato au eneo gani. [emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon nitaleta ushahidi hii ni kulingana na utafiti alioufanya fundi na kunithibitishia kuwa ktk memory cad zitapatikana baadhi ya pichaSikuelewi, kama hauna uthibitisho, zitakuwa hadithi za kufikirika.
Ova!
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Mkuu katika solar system yetu tuna (nyota) Jua moja lakini katika milk away Galaxy tuna (nyota) majua mengi sana na kuna ma galaxies mengi yaliyo beba ma trillion ya (nyota) Juahii hali ilitokea uko kwenu tu,aalaah sometimes usiliazi unatakiwa
hongera nikupongeze kwa kuwa na jua lenu,kumbe majua yapo mengi ee
Allah Subhana Huwa Taallah.Hayo ni maajabu ya Mwenyezi Mungu
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
Mkuu tatizo letu ni ufinyu wa fikira yafa tutiane moyo na sikukatishana tamaa ila nilichokiona nimekiandika kama kiu ama njaa sawa ndivyo uonavyo siwezi badiri mtizamo wako wa fikiraWasione wanao tazama hizo anga za juu na kila aina za mifumo ya teknologia za kutizama hizo anga uone wewe na kikamera chako hiyo itakuwa ni njaa na kiu kali imekuchezea.
Asante kwa ufafanuzi.Wazungu wanasema, "interaction with unidentified flying object/extraterrestrials."
Camera kufail "is probably due to electromagnetic interference caused by the phenomenon itself"
-Discovery science
Asante kwa ufafanuzi mzuriOr maybe a solar flare ?
Binafs nataman kujua haya mambo akikukubalia msinisahau japo nijifunze kiasiNatamani ni join na wewe kwenye utafiti wa jua, kwakweli hii tufe lina mambo mengi bado hayaja weka kwenye vitabu,
Na utafiti wa tufe hili lina hitaji vifaa vizito sana vitakavyo weza kubili hali ya tufe sio camera zetu hizi,
Ngoja ajibu, alafu tuone chakufanya maana sio kila jambo hadi wagundue wazungu,Binafs nataman kujua haya mambo akikukubalia msinisahau japo nijifunze kiasi
"Mwacheni Mungu aitwe Mungu!"Hayo ni maajabu ya Mwenyezi Mungu
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!