Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Mkuu hata NASA walianza kidogo kidogo ndio wamefika walipo
Sasa unataka tukusaidiaje?
Elimu ya astrophysics or cosmology unayo?
Kama hauna lazima utaona kitu cha ajabu but hilo ni jambo ka kawaida sanaaa!!!
Katika mfumo wa jua!!
 
Nilichogundua wafrica wengi hatuna elimu na uelewa wa mambo!
Vitu vya kawaida lakini wengine wanachukulia masihara Mara wengine wanaleta upuzi!!
Also mleta mada ahaminiki coz ya nyuzi zake!! Ni MTU mjanja mjanja hivi!!!
Kama utafatilia thread zake
 
Unajua unatia chumvi mpka mtu unashtuka ...leta camera hiyo nikutengenezee nile mpunga mie.
 
Ni ukweli kitu Kama hicho kilitokea nami pia nilishuhudia dhahiri shahiri nikiwa Geita, in short anachokisema impongo ni ukweli mtupu na wala haongopi ata chembe.
Tatizo watu hawakubali wasichokiona ila Mimi nilishuhudia kabsa mkuu
 
Sasa unataka tukusaidiaje?
Elimu ya astrophysics or cosmology unayo?
Kama hauna lazima utaona kitu cha ajabu but hilo ni jambo ka kawaida sanaaa!!!
Katika mfumo wa jua!!
Fafanua zaidi mkuu
 
Nilichogundua wafrica wengi hatuna elimu na uelewa wa mambo!
Vitu vya kawaida lakini wengine wanachukulia masihara Mara wengine wanaleta upuzi!!
Also mleta mada ahaminiki coz ya nyuzi zake!! Ni MTU mjanja mjanja hivi!!!
Kama utafatilia thread zake
Mkuu onyesha thread ya uongo niliyo wahi kuileta hapa jamvini?
 
Katika uhalisia wa anga na vitu vilivyomo angani, kuna siri kubwa kubwa sana. Wengi wetu tumeaminishwa uongo kupitia michoro ya wanadamu ambao hawataki the mass kufahamu ukweli......
mkuu siri gani hiyo unayoifahamu ww tu...
 
hii hali ilitokea uko kwenu tu,aalaah sometimes usiliazi unatakiwa

hongera nikupongeze kwa kuwa na jua lenu,kumbe majua yapo mengi ee
 
Back
Top Bottom