Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu tayali tumekubaliana aifanyie kazi kufahamu nini kimeendelea!?Mimi naamini umeona hiyo kitu, lakini kuungua kamera ya kidigitali hadi memory Card hapo kisayansi inahitaji maelezo ya kutosha.
Peleka Camera kwa wanasayansi pale DIT au UDSM au UDOM waifanyie uchunguzi wa kisayansi.
Daah, pole sana mkuu.Hapana mkuu macho ndio yana uono hafifu tu.
Ni kweli ila kuna mtaalaam ameichukua kuifanyia utafiti wa kina na hatimaye tutajua nini chanzo ila unachosema inawezekana ndiyo kitakachoonekana majibu yakitoka.Umeua lens kaka huwezi uka idirect camera yako direct to sunlight kama haikutengenezwa for that purpose
Ni kweli ila kuna mtaalaam ameichukua kuifanyia utafiti wa kina na hatimaye tutajua nini chanzo ila unachosema inawezekana ndiyo kitakachoonekana majibu yakitoka.kuhusu camera umeiua kaka huwezi ukai direct camera yako straight towards the sun lens inakufa
Kuna special telescopes na camera za kufanya hivo
Inawezekana kilikuwepo mezani lakini tumboni hakuna kitu ukaanza kukata ringiMkuu maisha yangu si yakuhangaikia chakula nashukuru Mungu hiyo level nimeivuka.
Asante sana kwa kunipa mwanga zaidi ngoja nami ni google NASA kuona hiki unachosemaAnd kuhusu tundu katika jua kuna phenomena tunaiita solar flare ni kama jua linalipuka hivii and it is associated with high emission of gamma radiations ( which in turn increase the surface temperature of the sun than normal ) inapotokea solar flare ni kama ugali unatokota vile sasa just imagine it at a larger scale utaona kama shimo
Astro telescope zinarecord sana hayo matukio buh tarehe tano march sijasikia kama kuna solar flare ya scale kubwa hivo hadi kuiona na macho ilitokea ngoja nika google au kucheki website ya NASA coz hawawezi kosa tukio kama hilo
So ukitaka kujua more of ur experience ni hivo that event is called a solar flare
And nimekwambia haya yote provided what you said is true
Kuhusu wanao kuzingua kwenye nyuzi yako hii achana nao they have no clue in astrophysics and cosmology
Mkuu asante kwa mchango wako ngoja niendelee kuperuzi google haya mambo nizidi kupata elimu zaidiTarehe tano march the sun was blank View attachment 711141
But tarehe nane kweli there were solar winds seen but hayo matukio ni ya kawaida they are of lower scale
fala wewe acha uongoHali iliyotokea juzi tarehe 5.03.2018 ilinitisha na kuniogofya nisijue nini cha kufanya wala sikujua ni kitu gani kimesababisha Jua kubadirika na kutengeneza hali yenye utisho mpaka sasa nimejaribu kupitia makala mbalimbali kwa siku tatu lakini sijapata majibu hikii.
Kilichotokea.
Ilikuwa mda wa saa 6:45 mchana nikiwa mashambani huku nikipiga picha kutumia camera ndogo ya kisasa Jua lilikuwa kali sana likichoma lakini cha kushangaza Jua lilipunguza mngao ghafla nilianza kuona kitu kama rangi rangi za kila namna zikiangaza pale chini ktk ardhi.
Nilishituka hali iliyonipelekea kutazama angani nilichokiona kilinishitua sana Jua lilionyesha kukosa ung'aavu ingawa lilichoma sana na lilitengeneza duara mawinguni iliyoweka weusi flani kupunguza mng'ao wa Jua na wingu lililokuwa la duara lilitengeneza rangi za kila namna ktk mzunguko wake.
Nilivaa miwani ya Jua ambayo siku zote kama mtafiti huwa siiachi ili nilitazame vema Jua niliona kidoti kikubwa kama nusu ya Jua lote nilijita hidi kuangaza vizuri ili nigundue Jua limepataje kidoti kikubwa namna ile.
Nilipochunguza vyema maana ilinibidi nilale chali nilichokiona lilikuwa ni kama tundu kubwa ambalo kwa mwonekano wa Jua tukiwa hapa duniani ungeweza kuingiza mpira wa miguu wa namba 6.
Nilichukua camera na kuanza kupiga picha ili nipate ushahidi kwa ambao nitawaelezea na niendelee na utafiti kutafta majibu kwa wenye uelewa zaidi.
Ghafla Jua lilirudisha mng'ao wake halisi na kidoti kile kilifutika na mviringo ktk mawingu ulitoweka na zile rangi rangi zote nilianza kuchukua video haraka lakini cha kushangaza camera ilizima ghafla,.
Nilipofika nyumbani nilitoa memory card kuweka kwenye PC haikuonyesha chochote kila kitu kimefutika, na nilijaribu kuchaji camera ikakataa na nimepeleka camera kwa fundi anasema imeungua haitawezekana kutengeneza.
Jee hii hali kuna yeyote amewahi kuishuhudia naomba mchango wa mawazo.
Hasa ni kitu gani hiki
Maana ktk Jua sioni kidoti wala tundu!
Naomba kukujua zaidi.Mkuu ile haikuwa hadith ni ukweli mtupu
Hata hii ya juzi ni kweli labda tatizo ni maisha yangu na mikasa ninayokutana nayo imenifanya nionekane wa ajabu.