chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,645
Hata wewe umeshaungua maini ndani [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuhusu camera umeiua kaka huwezi ukai direct camera yako straight towards the sun lens inakufaNi kweli lakini lakini lazima kuna kitu na uelewa umezidiana huenda kuna anaye fahamu zaidi kufafanua ni kitu gani.
And kuhusu tundu katika jua kuna phenomena tunaiita solar flare ni kama jua linalipuka hivii and it is associated with high emission of gamma radiations ( which in turn increase the surface temperature of the sun than normal ) inapotokea solar flare ni kama ugali unatokota vile sasa just imagine it at a larger scale utaona kama shimoMkuu hii ni picha ya Jua (sun) huwa sioni tundu lolote hapo.
Ni kweli kbsUtakuwa ulipata sun stroke ukapata wenge la jua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli kbs
Pia na matumizi ya sigara kubwa
Mkuu Mimi nilishuhudia ninanachosema ni ukweli mtupuSiwezi kuthibitisha maneno yako moja kwa moja lakini Nina LA kuongeza juu ya hili ingawa Mimi sikushuhudia.
Siku moja sikumbuki ni lini lakini ilikuwa Around mid February niliporudi nyumbani kutoka katika mizunguko yangu ya kawaida kijana wangu Wa kazi aliniuliza hivi:
" aisee, hivi uliliona jua LA Leo LA mida ya SAA sits nusu?" Nikamjibu hapana kwani ilikuwaje? Akajibu
" kwanza lilibadilika rangi ilikuwa kama limepoteza mng'ao wake Fulani mpaka nikashangaa. Nilipotoka kivulini kuingia juani lilikuwa linachoma kupita kawaida kiasi unaweza kuhisi huwezi kuvumilia. Nilihisi nimeona Mimi peke yangu lakini nikasikia pia wamama Wa nyumba ya jirani wakiulizana kuhusu mwanga huu Wa jua kubadilika ila wakaishia kusema hii ni kazi ya Mungu.. Nilishangaa sana"
Mwisho Wa kunukuu..
Sikushuhudia lakini pia sikuwauliza majirani hao.. Ila inawezekana kuna kitu hakipo sawa
Asante mkuu nimekuelewa nitaendelea kutafta ufafanuzi nikipata jibu nitaleta jamvini.Hapana. Sijasema kwamba umeandika comedy. Nimesoma nikakuelewa sana. Lakini jambo hili sina utaalamu nalo. Sikuona sababu ya ku comment kwako kwa jambo ambalo silifahamu. Nilianza kusoma michango ya wachangiaji nikitegemea lablda kuna mwenye uelewa wa hicho kitu ulichozungumzia. Lakini kabla sijafika mwisho, nikakutana na hiyo comment ya jamaa akiUliza kwamba "PICHA NDIYO HIZO".
Hicho ndicho kilinifanya nicheke. Kwa sababu umeadika kwamba camera yako ilizimika na haiku display kitu na ulipofuatilia kwa wataalam ukaambiwa imeungua na hvivyo hapakua na uwzekano wa kupata hizo picha.
Swali la jamaa yangu ndilo nililiona kama intertainment. Ninadhani hata yeye alikuwa anatania. Vinginevyo, endelea kutafiti ukipata jibu, tushirikishe.
Mkuu hata hao wenye vyombo huko angani walianza taratibu ili kufika huko walipoWewe unafanya utafiti huo kwa ajili ya nani na unamanufaa gani kwa taifa hili ambalo halina taasisi yoyote inayojishughulisha na Sayasi ya Anga za juu?
Mkuu nilichoandika ni ukweli sina haja ya kudanganya umma Mimi ni mtu ninaye jitambua ingekuwa joke ningepeleka majukwaa husika nisingeleta huku.Jinsi ilivyoundwa kamera ya digitali sio kama zile za analojia.
Za digital toka inapokusanya taswira ktk mwanga na kuitengeneza kitu ktk mfumo wa 'binary object' ni hatua ndefu na hakuna muunganiko wa moja kwa moja toka kwenye 'aperture' ya kamera hadi kwenye kihifadhi kumbukumbu (memory card) kama ilivyo ktk kamera ya analojia itumiayo mkanda (camera film).
Unachojaribu kusema ni kwamba huo mwanga uligeuka umeme mkubwa kiasi cha kuunguza memory kadi, kitu ambacho kamera yote ingeungua na kama vile vinapoungua vifaa vya umeme na kuzalisha joto na moshi. kama iliungua hivyo tuwekee picha ya kamera yako iliyoungua na bila shaka wewe pia ungekuwa umeumia mkononi.
Kamera ya analojia ni rahisi kuungua picha ktk mkanda kwa vile kwa namna fulani mwanga unaenda moja kwa moja kutengeneza taswira ktk mkanda.
Haya madai yako sio sahihi labda kama umeandika kazi fulani ya fasihi. Ambayo hata mimi umenishika vizuri maana bado sijapata maudhui yake.
Mkuu yaani ni ukweli mtupu nilichoona ndiyo nilichoandika.Siwezi sema kwel hayo uliyashuhudia lkn mi nilishawahi kusimuliwa kitu kama hicho kitambo huo uzi wako ni mara ya pili kuongelea jambo kama hilo na mie kila nikisimuliaga watu hunitoa akili kama wanavyokufanyia ww coz sina ushahid so bro mie binafsi yangu naamin inaeezekana we hayo umeyaona