Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

mi nawaza tu watoto wako walivyokuona umelala chali juani na mamiwani ya kuchomelea......
 
Mkuu hakuna ushahid sana tukuamini labda ungetuonesha hiyo camera kidogo japo pia haiwez kutufanya tukuamini but cha msingi Mungu yupo na anao uweza kuliko vitu vyote japo wanadam tunajivunia technology yw c chochote
 
It’s time for gods and goddess
 
Hayo ni maajabu ya Mwenyezi Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
Ni kweli lakini lakini lazima kuna kitu na uelewa umezidiana huenda kuna anaye fahamu zaidi kufafanua ni kitu gani.
 
Katika uhalisia wa anga na vitu vilivyomo angani, kuna siri kubwa kubwa sana. Wengi wetu tumeaminishwa uongo kupitia michoro ya wanadamu ambao hawataki the mass kufahamu ukweli......
Inawezekana kwa maslahi yao binafsi
Lakini Mungu ni muweza na kila siku akili zetu hufunguka kuujua ukweli na siri zinazo fichwa
 
Umejitahidi kuandika hii FASIHI SIMULIZI lakini ushahidi ungekuwepo tungesema neno kwa sasa pole kanunue kamera nyingine!!

NB: Ila wewe ni mtunzi mzuri!!
Mkuu siyo fasihi siwezi kupoteza mda kuanza kutunga nilichokiona ndicho nilicho kileta na sijawahi kuwa mwendawazimu labda kama sijifahamu
 
Armagedon
 
Asant mkuu ila hiki ninachosema siyo hadithi pia sikuwa peke yangu watu ziadi ya 10 walikuwepo na walitazama angani kuona tatizo lilikuwa ni mng'ao mkali wa Jua walishindwa kutazama kwa ufasaha kama nilivyofanya Mimi niliye kuwa nimevaa miwani ya Jua asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…