Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Umeshindwa tu kuelewa kiongozi hiyo inaitwa Tears Of The Sun by Bruce Willis.

Ahsante.
 
kuna samaki utawalowa hapa!
Mkuu huu ni ukweli nimekuja kutafta ufahamu zaidi si kwa nia ya kuopotosha kama una unachofahamu zaidi nijuze ila huu ni kweli siyo hadithi
 
Nimependa,umetufanya tusome mpaka mwisho wa uzi bila kupata kitu.
Mkuu niliweka jamvini ili nipate uelewa wa wanaoelewa zaidi hichi nilichokiona
 
camera ikazima, nikatoa memorycard haikusoma

nami nikaushusha uzi wako kwa 75% Na nikapigia msitari kuwa ni stor ya kutunga.
ahsante
Mkuu huu ni ukweli siyo story sikuwa peke yangu tulikuwa wengi
 
ah ah ah maybe true smulizi yako mkuu au inawezekana ni white blood cells ulikua unaziona,kitaalam zaid uliexperience some sort of blue field entoptic phenomenon nacoincidencely camera yako ikaaharibika same day kwa pozi zako za kulala lala chini uchukue actions..
Asante mkuu lakini sikuwa wa kwanza kuona nilionyeshwa na nilichokiona kuwa nao shambani na kuniambia niangalie angani ndiyo nilianza kuangalia na kutafiti hadi nikaharibu camera yangu
 
Kama mtu hana usafiri wa kuenda outing kwa ku refresh, nashauri asisumbuke. Aje JF tu panatosha!.

Ahsante kwa kunitegnezea jioni njema!. Nimecheka sana.
Yaani JF ina watu wa maajabu sana unaandika ukweli wa ulichoona unajibiwa comedy
 
D7BC09D6-6C00-4106-9527-4444C1EFF25A.jpeg
Inabidi ucheke tu wengine uchokozi mmezaliwa nao
Wewe amini ulichokiona na binadamu asikurudishe nyuma!
Stay blessed!
 
Mkuu hakuna ushahid sana tukuamini labda ungetuonesha hiyo camera kidogo japo pia haiwez kutufanya tukuamini but cha msingi Mungu yupo na anao uweza kuliko vitu vyote japo wanadam tunajivunia technology yw c chochote
Sawa mkuu Leo nipo mkoa nikiludi mjini nitaweka camera kwa ushahid
 
Back
Top Bottom