Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu lakini sikuwa wa kwanza kuona nilionyeshwa na nilichokiona kuwa nao shambani na kuniambia niangalie angani ndiyo nilianza kuangalia na kutafiti hadi nikaharibu camera yanguah ah ah maybe true smulizi yako mkuu au inawezekana ni white blood cells ulikua unaziona,kitaalam zaid uliexperience some sort of blue field entoptic phenomenon nacoincidencely camera yako ikaaharibika same day kwa pozi zako za kulala lala chini uchukue actions..
PICHA NDIO HIYO SASA.
Yaani JF ina watu wa maajabu sana unaandika ukweli wa ulichoona unajibiwa comedyKama mtu hana usafiri wa kuenda outing kwa ku refresh, nashauri asisumbuke. Aje JF tu panatosha!.
Ahsante kwa kunitegnezea jioni njema!. Nimecheka sana.
Pole ndugu yangu!Amenivunjia heshima wakati ni ukweli
Wewe amini ulichokiona na binadamu asikurudishe nyuma!Inabidi ucheke tu wengine uchokozi mmezaliwa nao
Sawa mkuu Leo nipo mkoa nikiludi mjini nitaweka camera kwa ushahidMkuu hakuna ushahid sana tukuamini labda ungetuonesha hiyo camera kidogo japo pia haiwez kutufanya tukuamini but cha msingi Mungu yupo na anao uweza kuliko vitu vyote japo wanadam tunajivunia technology yw c chochote