Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani.
Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa huyo waziri mkuu fake anasema ukweli.
Pia CCM imeweza kuwapata vijana wenye njaa na kuwapa fedha ili ionekane kuwa wanapinga maandamano na wako tayari kuchinja watu kama wakiandamana. Hii imeleta mgawanyo wa wananchi na pia kuwaogopesha wananchi. (Divide and rule principle or divide and conquer principle).
HITIMISHO:
1. Hakuta kuwa na maandamano hiyo tarehe 7/7 na hata siku zijazo
2. Wamepandikiza chuki sana kati ya wananchi na wapinzani/wanaharakati
USHAURI:
1.Wapinzani wakitaka kutoboa lazima wawashirikishe vyombo vya kimataifa ikiwezekana kama alivyoshauri mtu mmoja kuwa wafanye mpango wa kumuona Trump na baadhi ya viongozi wakubwa wa dunia
2. Waandae vipeperushi na kuvisambaza nchi nzima vya kueleza umuhimu wa katiba na haki za raia.
Njia ambayo ni very effective kushinikiza changes ni maandamano. Sasa kama wameweza kuyadhibiti na kuwagawa watanzania. Sioni ujmbe huo kama unaweza kuleta changes zozote. CCM wako tayari kuharibu nchi by any mens lakini waendelee kubaki madarakani...huoni serikali inavyohaha?
..juzi Mwigulu alikuwa Ikungi kijijini kwa Tundu Lissu.
..leo yuko Nyamongo kwa kina John Heche.
..Katambi kakimbilia kijijini kwao kuwashawishi wazee.
..na kabla ya ziara kalazimika kuzuia mikutano ya Chadema.
..kwa kifupi serikali imeshindwa kushindanisha HOJA na Chadema mbele ya wananchi.
..maandamano kutokufanyika sio hoja, bali ujumbe wa maandamano umefika, na umetikisa.
..kuna muandishi alipata kusema, " hamkani si shwari tena. "
Fikiria ni kiasi gani cha pesa serikali itapoteza kwenye maonesho haya ya 7/7.
Alafu kumbuka kuwa maandamano haya hajaitishwa na CHADEMA ni watu Tu wa mitandaoni ndiyo wameitisha
Njia ambayo ni very effective kushinikiza changes ni maandamano. Sasa kama wameweza kuyadhibiti na kuwagawa watanzania. Sioni ujmbe huo kama unaweza kuleta changes zozote. CCM wako tayari kuharibu nchi by any mens lakini waendelee kubaki madarakani.
Kinachonisikitisha uwelewa wa wananchi bado ni mdogo saaana
CCM kuendelea kuhodhiwa na wanamtandao ndiyo kaburi lake...sioni kama wananchi wamegawika.
..Ni serikali tu imeunda magenge ya vitisho ambayo wananchi wameyadharau.
..hayo magenge unayoyaona sasa hivi baada ya muda yatafifia kama wale wakatoliki feki.
..serikali imeshindwa kujitetea kuhusu mauaji ya OCT 29.
..bila CCM kuamua kuwawajibisha, na kuwatenga, wanachama wao walioifikisha nchi OCT 29 chama kinakwenda kuzama.
Yuko bize kufua mashuka na mataulo.Wapi mhudumu wa guest Lucas mwashambwa
Kimsingi serikali haishindani na CHADEMA , Bali na wananchi walioichoka, asilimia kubwa ya Watanzania wamewachoka viongozi wabadhirifu, wezi wa mali ya umma na wauaji, inapofika serikali inaua raia wake na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kusalia madarakani huo ndio mwisho wake...huoni serikali inavyohaha?
..juzi Mwigulu alikuwa Ikungi kijijini kwa Tundu Lissu.
..leo yuko Nyamongo kwa kina John Heche.
..Katambi kakimbilia kijijini kwao kuwashawishi wazee.
..na kabla ya ziara kalazimika kuzuia mikutano ya Chadema.
..kwa kifupi serikali imeshindwa kushindanisha HOJA na Chadema mbele ya wananchi.
..maandamano kutokufanyika sio hoja, bali ujumbe wa maandamano umefika, na umetikisa.
..kuna muandishi alipata kusema, " hamkani si shwari tena. "