Uenezaji wa ushoga waweza kuwa mbinu mojawapo ya maangamizi ya kimbari

Bora usemee wee hapa.
Uko sahihi. Na nimesema kuwa ushoga siyo jambo jipya. Mapya nimeyaelezea, na ndiyo tatizo
Ahsante sana. Kwa kazi iliyokwishafanywa na mtafiti Catherine Kaabi ilihusisha wizara ya Mambo ya Ndani na kulikuwa na ufuatiliaji wa kina na taarifa nyingine zinapatikana YouTube. Andika Mwakyembe na mashoga. Nitajaribu kuweka link mojawapo humu.
 
You have think in a big picture ,Hii vita ni ngumu sana tuendako bila Mungu hatutoboi miaka mitatu ijayo unaeza ambiwa usiporuhusu usenge nchini mwako basi utawekewa economic sanctions .Kwa nchi zetu za kiafrika ni ngumu sana kutoboa
Uko sahihi. Lakini pamoja na kusali tufanye kile tunachoweza kufanya katika ubinadamu wetu kuepusha dhahama. Katika ķisa cha Sodoma na Gomola, angepatikana mtu mmoja safi, angeepusha adhabu jamii nzima. Kuhusu utabili wako wa masharti kwa nchi maskini, siyo miaka mitatu. Huko mbali! Fuatilia kinachoendelea kwa Museveni wiki hii.
Uko sahihi kuhusu haja ya kupambana zaidi kimaadili na kiimani, na hizi ndiyo mbinu kuu. Lakini ufanisi ni mdogo, na wimbi lenye kuhimiza kutoka Magharibi ni kubwa sana. Nguvu ya ziada inatakiwa. Mimi hapa nilikuwa nazungumzia wimbi lilivyo; ili jamii na serikali ione haja na namna ya kukabiliana nalo. Sula la namna gani tukabiliane na wimbi hili ni mada ya mjadala mwingine.
 
 
Ahsante. Nadhani hukunielewa vizuri. Msingi wa hoja yangu ni kwamba ushoga wa mwanaume una madhila zaidi, na kwa mbali sana, kuliko wa mwanamke (msagaji). Mwanamke hata akizaa mapacha kila uzazi hana uwezo wa kuzaa watoto wengi kama ilivyo kwa mwanaume. Nimeilezea vizuri na kutoa takwimu. Na kama nilivyoandika haikuwa suala la kupendelea jinsi moja na kudhalilisha nyingine. Ushoga ni ushoga tu; uwe wa mwanamke, uwe wa mwanaume.
 
Umesema ukweli.hili jambo ni la kupingwa sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ushirikina
 
Mla vya watu na vyake huliwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
How much kupandkz, how many can afford
 
Hili jambo ni lakupingwa vikali sana vinginevyo tutapoteza kizazi chote
 
Kuna ujinga tu unafanywa na mamlaka za Serikali za kiafrika, unadhani Serikali ikiamua utamuona shoga? Big no
 
MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO HATA AJAPOKUWA MZEE ASIJE KUIACHA.
MITHALI 22:6.

1. Sikui kama kuna mzazi atamlea mtoto katika maadili na mtoto a takuwa shoga.

2. Sijawahi kusikia mtoto, kijana anachomwa sindano na anakuwa shoga.

3. Sijawahi kumsikia Mganga wa kienyeji anamloga mtu na kuwa shoga.

HAKUNA EXTERNAL FORCE YOYOTE INAYOKUFANYA KUWA SHOGA.

USHOGA NI MIDHAMBI YAKO NA UKOO WENU.
USHETANI WENU NA UPUMBAVU WAKO WEWE MWENYEWE.

MASHOGA WOTE MOTO WA JEHANAM UNAWANGOJA .

SHENZI KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…