Uenyekiti CHADEMA ni sawa na tunda la mti wa katikati pale Eden, ukiligusa tu unatupwa nje ya Bustani kama Zitto, Sumaye na Mwambe

Kwani Si Tuna Utaratibu Lazima MTU amalize Miaka 10?
Na hii so Ndio Demokrasia yetu tuliojiwekea? Kama Kuna MTU ndani ya Chama anataka Uraisi Kwanini Asiende Upinzani?
Wewe Unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 10 ya urais iko kwa mujibu wa katiba ya JMT inachofanya CCM ni uboreshaji wa matumizi sahihi ya hicho kifungu.
 
Ahsante sana kwa Kunielimisha Kada Mwenzangu,
Nilikuwa Sijui Miaka 10 ya Katiba ya JMT
Ndio maana huwa napenda uwape Elimu wale jamaa zetu wa Ufipa,yaani Wao hawana cha Kufuata Katiba ya JMT,
Mkuu mi sio Bwashee ni Ngosha Mkuu!
Natokea Kijiji cha Mwandu ikigijo wilaya ya Maswa, Shinyanga.
Kama jina Langu linavyojieleza!
Wape Somo LA Katiba Mkuu!
Cc
Pascal Mayalla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui Kama siasa ni biashara!!!?...Sasa mtu kaanzisha chama mwenyewe wewe unataka kumwingilia nadhani utakua una shida kwenye kichwa chako!!!...
 
Po
 

Hivi ulikuw ahujazaliw au ulikuw ahujajitambua?
tafuta habari za JOHN SHIBUDA alipogombea uenyekiti CCM kilimpata nini?
na hata alipojaribu kugombea ubunge chadema uchaguzi mdogo alipewa kesi gani na anni alimuokoa.
 
Sawa, lakini huko Lumumba hakukaliki kisa na mkasa ni huyu membe na wale wazee wanatamani kiti cha mkuu pale october
 
Sawa, lakini huko Lumumba hakukaliki kisa na mkasa ni huyu membe na wale wazee wanatamani kiti cha mkuu pale october
 
Kwani shida iko wapi dogo??

Mi nadhani watz ndo tuamke tumfukuze magufuli na ccm yake, wametafuna tril. 2.4 alafu wakamfukuza CAG

Hizo story za mbowe na chadema yake ni petty issues
 
Vipi CCM ynagombewa kirahisi? Sumaye na Mwambe wanaweza kuchukua fomu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan umenisemea apa. Nlitaka kucoment ila umemaliza yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuondolee unafk wako hpa
Wakina membe tu na wengineo walipotaka kuchuana na bw mkubwa nyie mmekuwa mkipigaa keleleee
Toa unafk wakoooooo hko

Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia celina mwambe kachukua fumo kuchuana na meko kwenye uenyekiti lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe taahira la karne Shwain kabisa.mrema ni mwenyekiti kwa muda gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ulikuw ahujazaliw au ulikuw ahujajitambua?
tafuta habari za JOHN SHIBUDA alipogombea uenyekiti CCM kilimpata nini?
na hata alipojaribu kugombea ubunge chadema uchaguzi mdogo alipewa kesi gani na anni alimuokoa.
John Shibuda alimkimbia RIP Idd Simba pale CCM na wala si figisu za kugombea uenyekiti.

Shibuda alikataliwa Jumuiya ya wazazi CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…