KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Najua hilo lakini uenyekiti ni njia mojawapo ya kumuimarisha na kumfanya ajiamini zaidi.Raisi ni wa watanzania wote sio Chama tu uimara wake kwenye uraisi uko intact hata kabla kuwa Mwenyekiti .Uimara wake uko kwenye katiba ya nchi ndio inampa mamlaka na kumuimarisha
"Mwalimu mkweli" pia yumo.
Tulia uandike vizuri.Haraka ya nini?Wewe ndiwe raisi unae. Ogoza Tanzania kwa mfumo umeonyesha faraja kwa watazania wewe Ni suruhu mfariji mwema sasa wewe wasihiri kushi mikamigi yabaraka amen
Usichokijua ni kwamba Rais hana nguvu bila kuwa na nguvu ndani ya chama kwa kifupi chama kina uwezo wa kumvua urais kupitia wabunge wake.Raisi ni wa watanzania wote sio Chama tu uimara wake kwenye uraisi uko intact hata kabla kuwa Mwenyekiti .Uimara wake uko kwenye katiba ya nchi ndio inampa mamlaka na kumuimarisha
Weka kifungu cha katiba kinachosema hilo tafadhali tusipige porojo hapaUsichokijua ni kwamba Rais hana nguvu bila kuwa na nguvu ndani ya chama kwa kifupi chama kina uwezo wa kumvua urais kupitia wabunge wake.
Sijajua unaongelea swala hili kwa muktadha upi,maana sote tunajua Rais lazima awe mwanachama wa chama cha siasa,hadi hapo unaelewa chama kina nguvu linapokuja swala la kuamua hatima ya "urais" wa mtu pengine kuliko katiba.Rais ni wa watanzania wote sio Chama tu uimara wake kwenye uraisi uko intact hata kabla kuwa Mwenyekiti .Uimara wake uko kwenye katiba ya nchi ndio inampa mamlaka na kumuimarisha
Najua hilo lakini uenyekiti ni njia mojawapo ya kumuimarisha na kumfanya ajiamini zaidi.
Taratibu tafadhali × 2Usichokijua ni kwamba Rais hana nguvu bila kuwa na nguvu ndani ya chama kwa kifupi chama kina uwezo wa kumvua urais kupitia wabunge wake.
Kisha ishika katiba,,tahari anajiamini!Najua hilo lakini uenyekiti ni njia mojawapo ya kumuimarisha na kumfanya ajiamini zaidi.