HAFIDH FADHIL
Member
- Jan 20, 2020
- 9
- 5
A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka miwili ambapo Sasa hivi nimepona lakini siwezi kuendelea na advance na nimeamua niende kusomea Diploma ya Clinical Officer (C.O). Tatizo linalonikabili ni kwamba Mimi ni yatima naishi na mama yangu tu na Hana uwezo was kunilipia ada ya chuo Jambo ambalo limenifanya nijihisi matumaini ya malengo yangu yanapotea.
NINAWAOMBA KWA KILA YEYOTE AMBAYE ATAKUWA TAYARI KUNISAIDIA NA KUNIFADHILI HATA KWA MKOPO HADI NITAKAPOMALIZA MASOMO YANGU KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU ANISAIDIE.
Chuo nilichoomba kipo Zanzibar. Shaa college
Ada Yao ni million moja laki nane kwa mwaka wa masomo.
Kwa YEYOTE mwenye Nia ya KUNISAIDIA awasiliane na Mimi kupiatia nambari hii. 0710204678.
Kushare taarifa hii kwa wengine pia ni msaada wako kwangu.
Asanteni Sana.