Ufadhili wa masomo

Ufadhili wa masomo

HAFIDH FADHIL

Member
Joined
Jan 20, 2020
Posts
9
Reaction score
5
A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka miwili ambapo Sasa hivi nimepona lakini siwezi kuendelea na advance na nimeamua niende kusomea Diploma ya Clinical Officer (C.O). Tatizo linalonikabili ni kwamba Mimi ni yatima naishi na mama yangu tu na Hana uwezo was kunilipia ada ya chuo Jambo ambalo limenifanya nijihisi matumaini ya malengo yangu yanapotea.

NINAWAOMBA KWA KILA YEYOTE AMBAYE ATAKUWA TAYARI KUNISAIDIA NA KUNIFADHILI HATA KWA MKOPO HADI NITAKAPOMALIZA MASOMO YANGU KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU ANISAIDIE.

Chuo nilichoomba kipo Zanzibar. Shaa college
Ada Yao ni million moja laki nane kwa mwaka wa masomo.
Kwa YEYOTE mwenye Nia ya KUNISAIDIA awasiliane na Mimi kupiatia nambari hii. 0710204678.
Kushare taarifa hii kwa wengine pia ni msaada wako kwangu.
Asanteni Sana.
 
Ushauri
Unaweza kupita kwenye institution ambazo kwa unachosomea wanaweza kukuajiri utakapo hitimu...kisha unaomba wao wakufund alaf utawalipa kwa kuwatumikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka miwili ambapo Sasa hivi nimepona lakini siwezi kuendelea na advance na nimeamua niende kusomea diploma ya clinical officer(C.O). Tatizo linalonikabili ni kwamba Mimi ni yatima naishi na mama yangu tu na Hana uwezo was kunilipia ada ya chuo Jambo ambalo limenifanya nijihic matumain ya malengo yangu yanapotea.NINAWAOMBA KWA KILA YEYOTE AMBAE ATAKUWA TAYARI KUNISAIDIA NA KUNIFADHILI ATA KWA MKOPO ADI NITAKAPOMALIZA MASOMO YANGU KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU ANISAIDIE.
chuo nilichoomba kipo Zanzibar. Shaa college
ada Yao ni million moja laki nane kwa mwaka wa masomo.
Kwa YEYOTE mwenyew Nia ya KUNISAIDIA awasiliane na Mimi kupiatia nambari hii. 0710204678.
kushare tarifa hii kwa wengine pia ni msaada wako kwangu.
asanteni Sana.
Taja majina yako kamili na unaishi wapi.
Pia hiyo ada unayosema 1.4 imeinclude chakula na malazi???
Pia sio lazima ufocus kwa mdhamini mmoja tunaweza kujitokeza watu wanne hapa tukakuchangia 350k kila mmoja ikatosha ada ya mwaka wa kwanza na mwaka wa pili hivyo hivyo
 
Taja majina yako kamili na unaishi wapi.
Pia hiyo ada unayosema 1.4 imeinclude chakula na malazi???
Pia sio lazima ufocus kwa mdhamini mmoja tunaweza kujitokeza watu wanne hapa tukakuchangia 350k kila mmoja ikatosha ada ya mwaka wa kwanza na mwaka wa pili hivyo hivyo
Asante Sana.
Majina:HAFIDH FADHIL ALI
Mahali nnapoishi: Fuoni taveta,Zanzibar
Hiyo Ada imejumuisha tuition fee pamoja na hostel kwa mwaka.
Pia nitashukuru wakijitokeza wadhamini zaidi ili wanisaidie kutimiza malengo yangu.
Asante sana
 
A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani wa form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18.

Baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka miwili ambapo Sasa hivi nimepona lakini siwezi kuendelea na advance na nimeamua niende kusomea diploma ya clinical officer(C.O).

Tatizo linalonikabili ni kwamba Mimi ni yatima naishi na mama yangu tu na Hana uwezo wa kunilipia ada ya chuo Jambo ambalo limenifanya nijihisi matumain ya malengo yangu yanapotea.

NINAWAOMBA KWA KILA YEYOTE AMBAE ATAKUWA TAYARI KUNISAIDIA NA KUNIFADHILI ATA KWA MKOPO ADI NITAKAPOMALIZA MASOMO YANGU KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU ANISAIDIE.

Chuo nilichoomba kipo Zanzibar. Shaa college
ada Yao ni million moja laki nane kwa mwaka wa masomo.
Kwa YEYOTE mwenye Nia ya KUNISAIDIA awasiliane na Mimi kupiatia nambari hii. 0710204678.

Kushare tarifa hii kwa wengine pia ni msaada wako kwangu.
asanteni Sana. Ushauri pia ni msaada wako kwangu.
 
Asante Sana.
Majina:HAFIDH FADHIL ALI
Mahali nnapoishi: Fuoni taveta,Zanzibar
Hiyo Ada imejumuisha tuition fee pamoja na hostel kwa mwaka.
Pia nitashukuru wakijitokeza wadhamini zaidi ili wanisaidie kutimiza malengo yangu.
Asante sana
Kaombe msikitini
 
Back
Top Bottom