Ufafanuzi: Halima Mdee na wenzake waliingizwa Bungeni na Serikali ya CCM, hawakuingizwa na Ndugai. Hawatafukuzwa

Hii nchi ina mauzauza mengi mno. Inafikia hatua mtu aaingia hadi kwenye chombo cha kutunga sheria kwa kutumia mauzauza kweli ? aisee tujitafakari sana kama taifa.

Watanzania hatuko serious.
 
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili KUIDANGANYA JUMUIYA YA MADOLA NA MATAIFA WAFADHILI kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa shwari na ndio maana bungeni wamo wapinzani, kuna hela nyingi ambazo Jumuiya ya Madola inatoa kwa nchi zenye mabunge ya kidemokrasia, hili ndio lengo la serikali ya Tanzania kumnunua kwa gharama kubwa na ya KUTIA AIBU Halima Mdee na wenzake.

Job Ndugai binafsi hakuwa na uwezo , mzuka wala utashi wa kufanya hivyo, Ndugai siyo aliyemtoa Nusrat Hanje Jela ili akaape , hiyo ni serikali yenyewe na mfumo wake, ndio maana hata baada ya Dr Magufuli kufariki, Yale Makubaliano ya Mfumo na Wasaliti kupewa Ukuu wa Wilaya yamedumishwa (nadhani mnanielewa), tena na Rais mpya kwa sababu serikali ya CCM haiendeshwi na hawa mnawaona wamevaa manguo ya kijani, wapo waendeshaji

Kwahiyo Halima Mdee na wenzake hawataondolewa bungeni kwa vile hawakuingizwa na Ndugai.

Nakaribisha maswali.

Anae mfukuza mwenzie nani🤔?
 
Kwa hiyo mim

Sasa ni mwaka wa 2 hamjafanya kikao yaani kipindi hiki cha corona mmeshindwa hata kufanya kwa njia ya mtandao iwe kisingizio kama hamna pesa ?
Pili tafsiri ya utekelezwaji wa hukumu sio relevant kwa case zote
Chukulia mimi na wewe ni ndugu tinagombea mirathi ya nyumba.. . nashinda halafu wewe unakata rufaa. Je nitaruhusiwa kuuza ile nyumba wakati rufaa iko mahakamani
Nina mfano wa ndgu yangu aliyefukuzwa kazi na kikao cha nidhamu lakini alipokata Rufaa hakutolewa kazini kusubiri maamuzi ya Rufaa
Twende mbali zaidi kama ulikuwa na ufahamu kulikuwa na kesi ya kina Mbaruku Msabaha na mwenzie Naila Jidawa wa CUF kule visiwani.. Aidha kulikuwa na Hamad Rashid Muhammed aliyeitwa mbunge wa Mahakam bila kumsahau Zitto Kabwe... Japo scenerio zinapishana lakinizinashabihiana.

Kuna haja ya kuacha kucheza na ufahamu wa watu na badala yake tuwe factual tukitaka tueleweke mbele ya wanachama na jamii
Ukiweza kunijibu swali langu hili utakuwa umeyapata majibu ya maswali yako:-
Ikiwa Baraza Kuu la Chadema Lina nguvu ya kuweza kuingilia Mahakama na kumtoa mtuhumiwa Nusrat Hanje gerezani tena usiku na kwenda kuhakikisha kaapishwa kuwa Mbunge. Je iweje lishindwe kutumia nguvu ile ile na kuhakikisha M/Kiti wake anakuwa Huru??
 
Mwenyekiti na Makamu wake hawapo.Nadhani hiyo ndio inafanya kuitisha huo mkutano wa baraza kuu kuwa mgumu.
Hawapo tangu lini
Hebu tuwe factual and focused
Siku zote Lissu amekuwa akishiriki vikao vya chama kwa mtandao.
Watu siku hizi wanashinda SPACE kule twitter lakini kufanya vikao hiwezekani huoni kama ni unafiki
Na je Mbowe kuwa Remand kwa miezi kadhaa ndio kumezuia vikao??
Akidi haitimii?
Katina inasemaje?
 
Unataka kusemaje ?
 
Kwa hiyo mim

Sasa ni mwaka wa 2 hamjafanya kikao yaani kipindi hiki cha corona mmeshindwa hata kufanya kwa njia ya mtandao iwe kisingizio kama hamna pesa ?
Pili tafsiri ya utekelezwaji wa hukumu sio relevant kwa case zote
Chukulia mimi na wewe ni ndugu tinagombea mirathi ya nyumba.. . nashinda halafu wewe unakata rufaa. Je nitaruhusiwa kuuza ile nyumba wakati rufaa iko mahakamani
Nina mfano wa ndgu yangu aliyefukuzwa kazi na kikao cha nidhamu lakini alipokata Rufaa hakutolewa kazini kusubiri maamuzi ya Rufaa
Twende mbali zaidi kama ulikuwa na ufahamu kulikuwa na kesi ya kina Mbaruku Msabaha na mwenzie Naila Jidawa wa CUF kule visiwani.. Aidha kulikuwa na Hamad Rashid Muhammed aliyeitwa mbunge wa Mahakam bila kumsahau Zitto Kabwe... Japo scenerio zinapishana lakinizinashabihiana.

Kuna haja ya kuacha kucheza na ufahamu wa watu na badala yake tuwe factual tukitaka tueleweke mbele ya wanachama na jamii
Unachanganya mada. Hapa suala sio kufukuzwa uanachama. Suala ni utaratibu wa kuwatambua kama wabunge. Hawa walitakiwa wateuliwe na chama chao na Tume ya uchaguzi itaarifiwe na Katibu Mkuu wa chama chao kuhusu uteuzi huo. Ndio maana Katibu Mkuu wa kilichokua chama chao aliwaandikia Spika na Tume wa uchaguzi waweke wazi nyaraka kutoka chama chao zilizowatambulisha kuwa hawa wameteuliwa na chama chao. Mpaka leo wote wako kimya. Spika, Tume na wahusika wote wamejikausha. Hivi unadhani Ndugai angekuwa na barua ya utambulisho kutoka kwa Mnyika au Mbowe angeacha kuiweka wazi ili kuonyesha unafik wao? Kusikilizwa au kutosikilizwa kwa rufaa yao ni masuala ya chama chao cha zamani na haina uhusiano na ubunge wao. Au unadhani kuwa rufaa yao ikisikilizwa na kukataliwa na chama chao cha zamani ndio watapoteza ubunge?
Hawa wapo mpaka itakapokuwa convenient kwa waliowaweka kuachana nao. Na dalili ni kuwa watafika 2025 na wataweza kupewa tena ubunge kupitia chama kingine. Au watateuliwa wawe wabunge. Au watapewa nafasi nyingine za kuwafuta machozi. Chama chao cha zamani kinajua hilo ndio maana hawajisumbui nao. Kilichobaki ni wapambane na nafsi zao.

Amandla...
 
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili KUIDANGANYA JUMUIYA YA MADOLA NA MATAIFA WAFADHILI kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa shwari na ndio maana bungeni wamo wapinzani, kuna hela nyingi ambazo Jumuiya ya Madola inatoa kwa nchi zenye mabunge ya kidemokrasia, hili ndio lengo la serikali ya Tanzania kumnunua kwa gharama kubwa na ya KUTIA AIBU Halima Mdee na wenzake.

Job Ndugai binafsi hakuwa na uwezo , mzuka wala utashi wa kufanya hivyo, Ndugai siyo aliyemtoa Nusrat Hanje Jela ili akaape , hiyo ni serikali yenyewe na mfumo wake, ndio maana hata baada ya Dr Magufuli kufariki, Yale Makubaliano ya Mfumo na Wasaliti kupewa Ukuu wa Wilaya yamedumishwa (nadhani mnanielewa), tena na Rais mpya kwa sababu serikali ya CCM haiendeshwi na hawa mnawaona wamevaa manguo ya kijani, wapo waendeshaji

Kwahiyo Halima Mdee na wenzake hawataondolewa bungeni kwa vile hawakuingizwa na Ndugai.

Nakaribisha maswali.

Kwa hiyo MDEE anawakilisha CCM?😳
 
Wawakilishi wa viti maalumu kupitia Chadema!
Bean 2.jpg
 
Umemaliza kila kitu
 
HAPANA , SEMA,

"Kwa hiyo Halima Mdee na wenzake hawataondolewa Bungeni kwa vile KATIBA YA NCHI NA SHERIA ZA NCHI ZINAVUNJWA NA WANANCHI WANAONA SAWA TU".

Hivyo kinyume cha tungo hiyo pia ni kweli!

Unachanganya mada. Hapa suala sio kufukuzwa uanachama. Suala ni utaratibu wa kuwatambua kama wabunge. Hawa walitakiwa wateuliwe na chama chao na Tume ya uchaguzi itaarifiwe na Katibu Mkuu wa chama chao kuhusu uteuzi huo. Ndio maana Katibu Mkuu wa kilichokua chama chao aliwaandikia Spika na Tume wa uchaguzi waweke wazi nyaraka kutoka chama chao zilizowatambulisha kuwa hawa wameteuliwa na chama chao. Mpaka leo wote wako kimya. Spika, Tume na wahusika wote wamejikausha. Hivi unadhani Ndugai angekuwa na barua ya utambulisho kutoka kwa Mnyika au Mbowe angeacha kuiweka wazi ili kuonyesha unafik wao? Kusikilizwa au kutosikilizwa kwa rufaa yao ni masuala ya chama chao cha zamani na haina uhusiano na ubunge wao. Au unadhani kuwa rufaa yao ikisikilizwa na kukataliwa na chama chao cha zamani ndio watapoteza ubunge?
Hawa wapo mpaka itakapokuwa convenient kwa waliowaweka kuachana nao. Na dalili ni kuwa watafika 2025 na wataweza kupewa tena ubunge kupitia chama kingine. Au watateuliwa wawe wabunge. Au watapewa nafasi nyingine za kuwafuta machozi. Chama chao cha zamani kinajua hilo ndio maana hawajisumbui nao. Kilichobaki ni wapambane na nafsi zao.

Amandla...
Kwanza mtoeni Spika kwenye issue hii. Yeye analetewa mbunge na tume. Wala hana nafasi ya kuhoji.
Pili nashangazwa sana na Chama kama Chadema KUSHINDWA kuleta mbinu ya Kuthibitisha kuwa Wabunge wale hawakutokana na Chama.
Leo niwape mbinu moja nyepesi
1. Kamilisheni taratibu za kuwafukuza ikiwemo kusikiliza rufaa na kufanya maamuzi(Hiki ndio kichaka kinachotumiwa na spika kuwalinda wale Wabunge)
2. Nadhani wataenda mahakamani ili wajaribu kuvuta muda au kubaki wabunge wa mahakama.

Wakienda mahakamani bila kujali itachukua muda gani lakini yafuatayo yatajulikana kwenye mwenendo wa kesi
(a) mchakato wa kupata wabunge viti maalum ndani ya chama ulifanyika na kama ndio ulifuata katiba ya chama?
(b) Barua ya kuwatambulisha tume ni halali
(c) Tume ilikuwa ikiwasiliana na nani ndani ya chama ktk kupata wabunge na alikuwa na mamlaka hayo kikatiba?

Kifupi ni kwamba NYARAKA mnazozidai zitatolewa mahakamani .

Mwisho kabisa findings hizi ni very significant kwa context kwamba Kama kweli Tume ilichakachua haki ya chama kuteua wabunge je tutaiamini vip ktk kutekeleza majukumu yake ya kusimamia na kutangaza washindi wa uchaguzi?

Tuache siasa nyepesi. Tunakimbia vita rahisi na kukimbilia vita nzito kama katiba wakati kuna 10% ya watu wetu bungeni
 
Chama kinaelewa mchezo mzima.wasipokuwepo akina Halima bungeni Chadema wanapoteza kuwa chama kikuu cha uoinzani.Tuliopo nje ndio tinatoa mapovu.unavyoshauri vyote chama kinajua cha kufanya.
 
Back
Top Bottom