Ufafanuzi: Halima Mdee na wenzake waliingizwa Bungeni na Serikali ya CCM, hawakuingizwa na Ndugai. Hawatafukuzwa

Chama kinaelewa mchezo mzima.wasipokuwepo akina Halima bungeni Chadema wanapoteza kuwa chama kikuu cha uoinzani.Tuliopo nje ndio tinatoa mapovu.unavyoshauri vyote chama kinajua cha kufanya.
Uongo wako unakusaidia nini ?
 
Chama kinaelewa mchezo mzima.wasipokuwepo akina Halima bungeni Chadema wanapoteza kuwa chama kikuu cha uoinzani.Tuliopo nje ndio tinatoa mapovu.unavyoshauri vyote chama kinajua cha kufanya.
Sasa kwa nini mmekuwa mnamtwisha spika lawama za kuwakumbatia watu wenu
 
Unauliza maswali ya kipuuzi, wewe jiulize tu Nusrat Hanje atolewe gerezani usiku awahishwe kwenda kuapa ubunge, hiyo nguvu ni ya CHADEMA? Chadema wanaweza kutoa mtu jela usiku kwenda kuapa? Kama utapata jibu la "Chadema hawawezi",basi ujue ulikuwa mpango wa CCM kudanganya jumuia ya Kimataifa kuwa CCM wanafuata utawala wa Sheria kufikia ushetani walioufanya kwenye uchaguzi mkuu wa Oct 2020.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu ukumbuke huwa wanalipiwa bando Lumumba kutetea ubwege, huyo NI mmoja wao. Nusrat Hanje alitolewa jela usiku kwenda kuapa ubunge, je, Chadema wanaweza kumtoa mtu wao jela usiku kwenda kuapa? Kundi la 19 ni kundi lililowekwa na CCM kudanganya jumuia ya Kimataifa kufikia ushetani wao walioufanya kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Kwa kuongezea tu: kuhusu viti maalum sheria/kanuni inataka kwamba kabla ya uchaguzi chama kipeleke orodha ya wanachama inaopendekeza kwenye viti maalum na baada ya uchaguzi NEC itachagua wabunge hao kufuata orodha hiyo kuanzia wa kwanza kadri chama kitakavyofanikiwa kupata wabunge wengi wa kuchaguliwa na idadi ya kura za rais.
Je kina Mdee ambaye alikuwa mgombea asingeweza kupendekezwa viti maalum ktk orodha iliyopelekwa NEC.
Nusrat Hanje pia alikuwa jela isingewezekana naye kuwamo.
 
Tena hakuanza Leo,alianza tangu enzi za shotiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…