Ufafanuzi: Je, kuna Majimbo yatashindwa kujiendesha kwenye mfumo wa Majimbo?

Ufafanuzi: Je, kuna Majimbo yatashindwa kujiendesha kwenye mfumo wa Majimbo?

Wewe unajua hifadhi ya udzungwa ipo mkoa gani ndugu???
So swala la mimi kujua udzungwa national park iko mkoa wa iringa.
80% ipp wilaya ya iringa vijijin na 20% ni wilaya ya kilombero. So u cant loudly say udzungwa is in morogoro buddy
 
Huu mgawanyo wa majimbo umeutoa wapi? Kagera itoe huko ulikoipeleka! Mwanza pia itoe huko, Mara pia itoe huko ulikoipeleka! Tuanzie hapo kwanza!
Nawaza tuu.....

Kwa Tanzania majimbo au kanda zingetakiwa kama ifuatavyo kwa mtazamo wangu:

Jimbo la kanda ya ziwa

1. Kagera
2. Geita
3. Mwanza
4. Simiyu
5. Mara

Jimbo la Kaskazini
1. Manyara
2. Arusha
3. Kilimanjaro
4. Tanga

Jimbo la Mashariki
1. Dar es salaam
2. Mkoa wa Pwani
3. Morogoro

Jimbo la Kusini
1. Lindi
2. Mtwara
3. Ruvuma
4. Part of Mkoa wa Pwani

Jimbo la Nyanda za juu Kusini
1. Iringa
2. Njombe
3. Songwe
4. Mbeya
5. Part of Rukwa

Jimbo la Magharibi
1. Kigoma
2. Tabora
3. Shinyanga
4. Part of Rukwa

Jimbo la Kati
1. Singida
2. Dodoma
3. Part of Morogoro
4 Part of Manyara

Jimbo la Visiwani
1. Unguja
2. Pemba
 
So swala la mimi kujua udzungwa national park iko mkoa wa iringa.
80% ipp wilaya ya iringa vijijin na 20% ni wilaya ya kilombero. So u cant loudly say udzungwa is in morogoro buddy
A633C7CE-1087-49BA-B094-ED90FB63CD8C.jpeg
 
Napingana na hii sera ya majimbo kwa nguvu zote, ni ya kipuuzi na inapaswa kupuuzwa
We ndo mpuuzi maana hata huelewi.. nakushauri utumie muda huu uelewe kwanza falsafa ya kupeleka madaraka endelevu kwa wananchi halafu ndo urudi. Ili usionekane kiazl, uchambue huo mfumo unaoupinga ukionesha mapungufu, fursa, changamoto na uthabiti.. else mie naona umeandika batcrap hapa
 
Nawaza tuu.....

Kwa Tanzania majimbo au kanda zingetakiwa kama ifuatavyo kwa mtazamo wangu:

Jimbo la kanda ya ziwa

1. Kagera
2. Geita
3. Mwanza
4. Simiyu
5. Mara

Jimbo la Kaskazini
1. Manyara
2. Arusha
3. Kilimanjaro
4. Tanga

Jimbo la Mashariki
1. Dar es salaam
2. Mkoa wa Pwani
3. Morogoro

Jimbo la Kusini
1. Lindi
2. Mtwara
3. Ruvuma
4. Part of Mkoa wa Pwani

Jimbo la Nyanda za juu Kusini
1. Iringa
2. Njombe
3. Songwe
4. Mbeya
5. Part of Rukwa

Jimbo la Magharibi
1. Kigoma
2. Tabora
3. Shinyanga
4. Part of Rukwa

Jimbo la Kati
1. Singida
2. Dodoma
3. Part of Morogoro
4 Part of Manyara

Jimbo la Visiwani
1. Unguja
2. Pemba
Wazo zuri pia !! Vyovyote vile mfumo wa majimbo ndo mfumo bora zaidi wa kuendeleza nchi yetu!
 
We ndo mpuuzi maana hata huelewi.. nakushauri utumie muda huu uelewe kwanza falsafa ya kupeleka madaraka endelevu kwa wananchi halafu ndo urudi. Ili usionekane kiazl, uchambue huo mfumo unaoupinga ukionesha mapungufu, fursa, changamoto na uthabiti.. else mie naona umeandika batcrap hapa
Ccm wamekaririshwa ndugu. Muonee tu huruma. Hawana uelewa wowote ule na mambo ya dunia na maendeleo, wamekalia propaganda uchwara tu
 
Mfumo wa majimbo hauna tofauti sana na mfumo wa serikali za mitaa,ambapo nchi kama za nordic manispaa zinajitegemea kukusanya kodi na kupanga matumizi hapo hapo kwenye halmashauri,kiasi kinachokwenda serikali kuu ni asilimia kama 20 tu ya pato la manispaa.

Ujenzi wa mashule na hospitali unaghalimiwa na manispaa husika wala hawasubiri serikali kuu. Ujenzi wa Barabara ,sijui madaraja yote manispaa inahusika hata kuwahudumia wasio na ajira kila manispaa inajitegemea, na kila raia atahudumiwa kwenye manispaa aliyojiandikisha ambayo kodi anayolipa huenda huko.
 
Acha kupiga ramli. Wewe waongelee watu wako wa Ccm mliotawala hii nchi kwa miaka karibu 60 ila hadi sasa ujinga, maradhi na umasikini vimekuwa changamoto. Sie tuache tuwaongelee chadema ambao hawajawai kuiongoza hii nchi
Chadema mnachekesha sana. Mnaongelea sera ya majimbo wakati chama chenu kinalaumiwa kuwa na uongozi wenye kubagua baadhi ya maeneo!!.

Hamjapewa nchi tayari sera imewashinda ndio mnataka mpewe Tanzania nzima mfanyie majaribio!!.

Kiongozi mkuu analaumiwa kwa kuendekeza upendeleo halafu ndio mpewe nchi nzima, tafuteni sera nyingine hii imeshashindwa kazi.
 
Umechanganua vizuri sana na for diversity or convenience kunaweza kukawa na Majimbo zaidi ya hayo 6 lakini siyo lazima yazidi 10 yanayojitemea. Kuna wakati baada ya Uhuru tulikuwa na Mkoa wa West Lake kutokana na ukubwa wa Mkoa wa Ziwa na wingi wa wakazi wake ikafanya kukawa na Majimbo mawili ya Ziwa.

Kila Jimbo litakuwa na Bunge lake la Wabunge tuseme 20 na kufanya jumla ya Wabunge wote Majimboni kuwa 200 nchi nzimà ya Majimbo 10 hata wakijulishwa Wabunge 100 wa Bunge la Taifa waliochaguliwa na wapiga kura wa Majimboni itafanya jumla ya 300 bado ni wachache kuliko wa Ndugai wa ndiyooooo.

Kila Jimbo litakuwa na Serikali yake yenye watumishi walioajiriwa, teuliwa au chaguliwa hukohuko Jimboni kwa taaluma zao. Makada wa vyama watabaki kwenye vyama vyao bila ya kuleta madhara kwa wananchi kwa kuunga mkono juhudi ili wateuliwe kujaza nafasi Serikalini bila ujuzi kama ilivyo sasa.

Wananchi waunge mkono CHADEMa walete Utawala wa Majimbo bado hatujachelewa.
 
Asili na misingi ya serikali hizo hapa kwetu ni ngumu kufanya kazi.
Hakuna kitu rahisi ni kujituma na kutumia vichwa ambavyo tunavyo. Mfumo tuliokua nao hautusaidii kwa kweli. Swala sio uhusiano wa jimbo na jimbo bali ni kwa kiasi gani serikali kuu itaziwezesha serikali za majimbo kupumua na kujiamulia mambo yao.
 
Kama mfumo wa majimbo ndio sera ya Lisu tayari ameshafeli

Mwenye takimu atuambie TRA Dar wanakusanya shs ngapi kwa mwaka katika

BANDARI

VIWANDA

MAKAMPUNI

WAFANYA BIASHARA( maduka)

PETRO STATION


KODI INAYOKATWA KUTOKA MISHAHSRA YA WAFANYAKAZI

Na ikitokea uchaguzi wa 2025 Lisu na CDM wakianguka huyo atakaingia ataondoa mfumo wa majimbo na kurudisha wa zamani

Hilo wazo la Lisu ni upuuzi wa kiwango cha rami
 
Very nice topic mkuu...huo utaifa wanaoulilia umetufikisha wapi???...its time we change stratergy, you cant do the same thing everyday and you expect different results...nasikia marekani wana huu mfumo, if it works for them, then may be we should give it a go...
 
Back
Top Bottom