UFAFANUZI juu ya Deni la Taifa na namna Rais Samia alivyotumia vizuri kila Senti aliyokopa katika Miradi ya Maendeleo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na serikali ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kwanza ifahamike ya kuwa kukopa siyo Dhambi wala kosa . Kukopa Ni jambo la kawaida sana katika kuharakisha mambo ya msingi na yenye maslahi na faida kubwa kwa Taifa. Kukopa kubaya ni kule unakopa kwa ajili ya kufanyia shughuli zisizo na tija na kufanya matumizi ya anasa wakati unajua Deni litalipwa na wananchi wanyonge.

Kinachoangaliwa katika kukopa ni Aina ya mkopo unaochukua,Masharti ya Mkopo yapoje? Unakopa kwa ajili ya nini? Unawekeza katika nini? Riba ya Mkopo ipoje? Mkopo ni wa muda gani? Mkopo utaanza kulipwa baada ya muda gani na kwa kiasi gani na kwa riba kiasi gani? Tija ya mradi unapokwenda kuweka pesa ya mkopo upoje? Je una faida kwa wananchi na Nchi kwa ujumla wake?

Watanzania wenzangu .Mama yetu kipenzi Mama Samia alipokuwa anaingia madarakani amekutana na kukuta changamoto mbalimbali sana za Mdololo wa kiuchumi Duniani Kwote uliotuathiri hata sisi maana sisi siyo kisiwa ,uliokuwa umesababishwa na Ugonjwa wa Corona uliopelekea kufungwa kwa shuguli nyingi za uzalishaji na viwanda,kupunguzwa kwa wafanyakazi katika makampuni mbalimbali , uwekezaji na wawekezaji kushuka na kuyumba kiuchumi,kupanda kwa bei kwa bidhaa mbalimbali ambazo zilichangiwa na vita vya Ukrein na Urusi.

Pamoja na hayo yoote ya kiuchumi,. Mbele ya Macho ya Mama yetu na Taifa letu kulikuwa na miradi mikubwa sana ya kimkakati iliyokuwa imeanzishwa na ipo bado kabisa hata kufikia Nusu. Miradi hiyo ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa ajili ya uzalishaji wa Umeme Megawati 2115 pamoja na SGR. miradi hiyo tayari ilikuwa imeshatumia pesa nyingi Kuianzisha.

Sasa je Mama angeiacha ife? Ibakie vyuma chakavu? Ijibomokee? Hapana jibu likawa ni Lazima miradi hiyo iendelee kwa kasi kubwa kuliko pengine hata awali. Mama kwa ujasiri Mkubwa sana akaamua kutafuta pesa kwa kila namna kuweza kuendeleza na kukamilisha miradi hiyo. Nawakumbusheni ya kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere lilikuwa ndio kwanza lipo 34% tu. Lakini hivi sasa limeshakwisha kamilika na linatupatia umeme wa kutosha mpaka na Ziada na ndio maana hakuna mgao wa umeme . na ukiona umeme umekatika ujue kunafanyika marekebisho kama vile kubadilisha nguzo au kuhamisha nguzo .

Ikumbukwe ya kuwa huwezi kupata wawekezaji wa kutosha na wengi ikiwa Taifa Muda wote lipo Gizani na halina umeme wa uhakika na wa kueleweka na kutosheleza mahitaji ya watu. Je mnafikiria pesa hizo zimekwenda bure? Je hamuoni faida ya mradi huo? Je hamuoni Taifa litapata pesa nyingi sana za kigeni tukianza kuuza umeme huo nje kwa nchi kama Kenya?

Tuje kwenye SGR. Je mnakumbuka kuwa Reli hiyo Mama aliikuta ipo bado kabisa? Je hamuoni namna mradi huo ulivyokwenda kwa kasi ya mwanga na mpaka sasa watu wanasafiri vizuri na kwa usalama na utulivu mpaka Dodoma huko. Huku kazi ya kuiendeleza reli hiyo mpaka huko mipakani ikiendelea?

Napenda pia kuwakumbusheni ya kuwa Mama yetu kipenzi na serikali yake amekuwa akichukua na kusaini mikopo yenye riba nafuu na masharti nafuu sana na riba ya asilimia ndogo sanaaa. Kama ambavyo tumekuwa tukiona. Lakini pia kama Taifa chini ya Mama yetu tumekuwa tukichukua mikopo ya muda mrefu sana ambapo inakuwa tayari miradi imeanza kufanya kazi na kuleta matokeo chanya na yenye kugusa Maisha ya Watu.

Nawakumbusheni pia ya kuwa ni RAIS Samia ndiye amekuja Kumaliza utaratibu wa wanafunzi kwenda shule awamu ya pili yaani kiangazi huko. hii ni baada ya kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya Elfu ishirini,kujenga shule mpya za kutosha pasipo kuhitaji au kuwachangisha michango wananchi. Ni Mama Samia anayetoa Elimu bure hadi kidato cha sita huku akitoa zaidi ya Billion 33 kila mwezi.

Ni Rais Samia ambaye kwa miaka yake hii 4 Ametiririsha zaidi ya Trilioni 6 katika secta ya Afya. Ndio maana mnaona kwa sasa mahospitali kuna vifaa vya kisasa na bora kabisa jambo lililopelekea kupunguza hata safari za kuwasafirisha wagonjwa kwenda nje ya nchi kama vile India. Bajeti ya kilimo imeongezeka kufikia Trilioni moja na point kutoka Billioni mia mbili na hamsini.

Amejenga vituo vya afya kila kona ya nchi yetu,ameongeza Bajeti katika kila wizara na ndio maana mnaona sasa hata upatikanaji wa maji safi na salama ni zaidi ya 83% kwa vijijini na 91% kwa mijini, umeme mpaka vitongoji huko, ajira kwa vijana zinaendelea kumiminika kila uchao,watumishi wa umma wameendelea kuboreshewa Maslahi yao na hivyo kuongezeka kwa morali ya kazi.

Ameongeza Bajeti ya Elimu ya juu kufikia Zaidi ya Billion mia sana na ndio maana kwa sasa wanafunzi wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida wala ubaguzi, pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo ni Elfu kumi kwa siku utafikiri maafisa. Ameendelea kutoa ruzuku ya mbolea kila mwaka na hivyo kufanya mbolea kushuka bei kutoka laki na 30 hadi Elfu 70 tu kwa mbolea ya DAP. Ikumbukwe ya kuwa siyo Rais Samia wala CCM iliyopandisha bei ya mbolea.

Kwanini hayo yote yamewezekana na kufanyika chini ya Rais Samia? Yamewezekana kutokana na uongozi wake shupavu na madhubutu, kuongezeka kwa Mapato kulikotona na kuongezeka kwa uwekezaji na wawekezaji,watalii walioleta pesa za kigeni baada ya Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia mwenyewe na hivyo watalii kuanza kumiminika nchini hadi kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka na sasa tupo juu huko kwa mamilioni ya watalii wanao endelea kumiminika hapa Nchini.

Kuimarishwa kwa Diplomasia ya uchumi na kuifungua Nchi yetu kulikofanywa na Rais Samia kulichochea ongezeko la wawekezaji hapa Nchini na hivyo kuongeza mapato. Nazani mliona namna bei ya korosho na mbaazi zilivyopaa bei baada ya Mama kwenda India na kuwavuta wafanyabiashara kuja nchini.

Nini unachoweza kusema Rais Samia hajafanya ndugu zangu Watanzania? Afanye nini huyu Mama mwenye Moyo wa upendo ,huruma, uchapakazi, uzalendo ili turidhike? Kipi hajafanya ambacho watanzania tulihitaji? Tunataka nini tena kwa huyu Mama aliyejitolea na kujitoa Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania? Kwanini tunachezea shilingi chooni? Kwanini tunajitafutia laana isiyo na sababu?

Hivi ninyi hamuoni kuwa huyu Mama ni Zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe? Hamuoni kuwa kainuliwa na Mungu kwa ajili ya kuleta tabasamu na matumaini kwa kila mtanzania?

Watanzania tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na tusikubali na kuwasikiliza wapotoshaji na wenye chuki binafsi na Rais wetu. Hususani wale waliokuwa wakimuombea mabaya ili ashindwe kuongoza Taifa letu. Hao kwa kila kitu hakionekani maana ni vipofu wa akili na macho na wamepofushwa na chuki binafsi na ubaguzi tu ndio misingi yao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Dhumuni kubwa la kwenda shule ilikuwa ni kuondoa ujinga.

Ila kulikuwa na kundi lililokataa kutoa ujinga, hawa walikuwa hawarudi darasani baada ya mapumziko mafupi baada ya kupata chakula.

Na watu wa sampuli hii mmoja wao ni wewe uliyeleta hii mada.
 
Dhumuni kubwa la kwenda shule ilikuwa ni kuondoa ujinga.

Ila kulikuwa na kundi lililokataa kutoa ujinga, hawa walikuwa hawarudi darasani baada ya mapumziko mafupi kupata chakula.

Na watu wa sampuli hii mmoja wao ni wewe uliyeleta hii mada.
Ungejikita katika hoja na siyo porojo ulizoweka hapa . Ukishindwa hoja na hoja ikiwa juu ya kimo chako ni bora ukakaa kimya tu kujifunza na kupata Elimu ya bure tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na serikali ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kwanza ifahamike ya kuwa kukopa siyo Dhambi wala kosa . Kukopa Ni jambo la kawaida sana katika kuharakisha mambo ya msingi na yenye maslahi na faida kubwa kwa Taifa. Kukopa kubaya ni kule unakopa kwa ajili ya kufanyia shughuli zisizo na tija na kufanya matumizi ya anasa wakati unajua Deni litalipwa na wananchi wanyonge.

Kinachoangaliwa katika kukopa ni Aina ya mkopo unaochukua,Masharti ya Mkopo yapoje? Unakopa kwa ajili ya nini? Unawekeza katika nini? Riba ya Mkopo ipoje? Mkopo ni wa muda gani? Mkopo utaanza kulipwa baada ya muda gani na kwa kiasi gani na kwa riba kiasi gani? Tija ya mradi unapokwenda kuweka pesa ya mkopo upoje? Je una faida kwa wananchi na Nchi kwa ujumla wake?

Watanzania wenzangu .Mama yetu kipenzi Mama Samia alipokuwa anaingia madarakani amekutana na kukuta changamoto mbalimbali sana za Mdololo wa kiuchumi Duniani Kwote uliotuathiri hata sisi maana sisi siyo kisiwa ,uliokuwa umesababishwa na Ugonjwa wa Corona uliopelekea kufungwa kwa shuguli nyingi za uzalishaji na viwanda,kupunguzwa kwa wafanyakazi katika makampuni mbalimbali , uwekezaji na wawekezaji kushuka na kuyumba kiuchumi,kupanda kwa bei kwa bidhaa mbalimbali ambazo zilichangiwa na vita vya Ukrein na Urusi.

Pamoja na hayo yoote ya kiuchumi,. Mbele ya Macho ya Mama yetu na Taifa letu kulikuwa na miradi mikubwa sana ya kimkakati iliyokuwa imeanzishwa na ipo bado kabisa hata kufikia Nusu. Miradi hiyo ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa ajili ya uzalishaji wa Umeme Megawati 2115 pamoja na SGR. miradi hiyo tayari ilikuwa imeshatumia pesa nyingi Kuianzisha.

Sasa je Mama angeiacha ife? Ibakie vyuma chakavu? Ijibomokee? Hapana jibu likawa ni Lazima miradi hiyo iendelee kwa kasi kubwa kuliko pengine hata awali. Mama kwa ujasiri Mkubwa sana akaamua kutafuta pesa kwa kila namna kuweza kuendeleza na kukamilisha miradi hiyo. Nawakumbusheni ya kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere lilikuwa ndio kwanza lipo 34% tu. Lakini hivi sasa limeshakwisha kamilika na linatupatia umeme wa kutosha mpaka na Ziada na ndio maana hakuna mgao wa umeme na ukiona umeme umekatika ujue kunafanyika marekebisho kama vile kubadilisha nguzo au kuhamisha nguzo .

Ikumbukwe ya kuwa huwezi kupata wawekezaji wa kutosha na wengi ikiwa Taifa Muda wote lipo Gizani na halina umeme wa uhakika na wa kueleweka. Je mnafikiria pesa hizo zimekwenda bure? Je hamuoni faida ya mradi huo? Je hamuoni Taifa litapata pesa nyingi sana za kigeni tukianza kuuza umeme huo nje kwa nchi kama Kenya?

Tuje kwenye SGR. Je mnakumbuka kuwa Reli hiyo Mama aliikuta ipo bado kabisa? Je hamuoni namna mradi huo ulivyokwenda kwa kasi ya mwanga na mpaka sasa watu wanasafiri vizuri na kwa usalama na utulivu mpaka Dodoma huko. Huku kazi ya kuiendeleza reli hiyo mpaka huko mipakani ikiendelea?

Napenda pia kuwakumbusheni ya kuwa Mama yetu kipenzi na serikali yake amekuwa akichukua na kusaini mikopo yenye riba nafuu na masharti nafuu sana na riba ya asilimia ndogo sanaaa. Kama ambavyo tumekuwa tukiona. Lakini pia kama Taifa CCM chini ya Mama yetu tumekuwa tukichukua mikopo ya muda mrefu sana ambapo inakuwa tayari miradi imeanza kufanya kazi na kuleta matokeo chanya na yenye kugusa Maisha ya Watu.

Nawakumbusheni pia ya kuwa ni RAIS Samia ndiye amekuja Kumaliza utaratibu wa wanafunzi kwenda shule awamu ya pili yaani kiangazi huko. hii ni baada ya kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya Elfu ishirini,kujenga shule mpya za kutosha pasipo kuhitaji au kuwachangisha michango wananchi. Ni Mama Samia anayetoa Elimu bure hadi kidato cha sita huku akitoa zaidi ya Billion 33 kila mwezi.

Ni Rais Samia ambaye kwa miaka yake hii 4 Ametiririsha zaidi ya Trilioni 6 katika secta ya Afya. Ndio maana mnaona kwa sasa mahospitali kuna vifaa vya kisasa na bora kabisa jambo lililopelekea kupunza hata safari za kuwasafirisha wagonjwa kwenda nje ya nchi kama vile India. Bajeti ya kilimo imeongezeka kufikia Trilioni moja na point kutoka Billioni mia mbili.

Amejenga vituo vya afya kila kona ya nchi yetu,ameongeza Bajeti katika kila wizara na ndio maana mnaona sasa hata upatikanaji wa maji safi na salama ni zaidi ya 83% kwa vijijini na 91% kwa mijini, umeme mpaka vitongoji huko, ajira kwa vijana zinaendelea kumiminika kila uchao,watumishi wa umma wameendelea kuboreshewa Maslahi yao na hivyo kuongezeka kwa morali ya kazi.

Ameongeza Bajeti ya Elimu ya juu na ndio maana kwa sasa wanafunzi wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida wala ubaguzi, pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo ni Elfu kumi kwa siku utafikiri maafisa. Ameendelea kutoa ruzuku ya mbolea kila mwaka na hivyo kufanya mbolea kushuka bei kutoka laki na 30 hadi Elfu 70 tu kwa mbolea ya DPA. Ikumbukwe ya kuwa siyo Rais Samia wala CCM iliyopandisha bei ya mbolea.

Kwanini hayo yote yamewezekana na kufanyika chini ya Rais Samia? Yamewezekana kutokana na uongozi wake shupavu na madhubutu, kuongezeka kwa Mapato kulikotona na kuongezeka kwa uwezeshaji na wawekezaji,watalii walioleta pesa za kigeni baada ya Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia mwenyewe na hivyo watalii kuanza kumiminika nchini hadi kufikia Millioni 1.5 kwa mwaka na sasa tupo juu huko kwa mamilioni ya watalii wanao endelea kumiminika hapa Nchini.

Kuimarishwa kwa Diplomasia ya uchumi na kuifungua Nchi yetu kulikofanywa na Rais Samia kulichochea ongezeko la wawekezaji hapa Nchini na hivyo kuongeza mapato. Nazani mliona namna bei ya korosho na mbaazi zilivyopaa bei baada ya Mama kwenda India na kuwavuta wafanyabiashara kuja nchini. Nini unachoweza kusema Rais Samia hajafanya ndugu zangu Watanzania? Afanye nini huyu Mama mwenye Moyo wa upendo ,huruma, uchapakazi, uzalendo ili turidhike? Kipi hajafanya ambacho watanzania tulihitaji? Tunataka nini tena kwa huyu Mama aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania? Kwanini tunachezea shilingi chooni? Kwanini tunajitafutia laana isiyo na sababu?

Hivi ninyi hamuoni kuwa huyu Mama ni Zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe? Hamuoni kuwa kainuliwa na Mungu kwa ajili ya kuleta tabasamu na matumaini kwa kila mtanzania?

Watanzania tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na tusikubali na kuwasikiliza wapotoshaji na wenye chuki binafsi na Rais wetu. Hisani wale waliokuwa wakimuombea mabaya ili ashindwe kuongoza Taifa letu. Hao kwa kila kitu hakionekani maana ni vipofu wa akili na macho na wamepofushwa na chuki binafsi na ubaguzi tu ndio misingi yao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ufafanuzi huu ni wa Luca au ni nani mtoa ufafanuzi?
 
Ccm daima Samia mitano tena juzi nilienda kujiandikisha nikakuta foleni nikasema navumilia mpaka nipate kadi ya mpiga kura ili Samia apate kura yangu
 
Takwimu bora kabisa zisizoweza kupingika na kupingwa!

Asante sana ndugu yangu kamarada Mwashambwa !
Kudos.....

Haya uliyoyafafanua hapa ndiyo yanayompatia nguvu rais wetu Mheshimiwa.Dr.Samia kusimama kiukakamavu kwenda kutuomba ridhaa ya urais katika uchaguzi ujao wa Oktoba!

Kwa haya hakika kura yangu anayo ,in shaa Allah !

Mwenyezi Mungu amhifadhi rais wetu Dr.Samia Suluhu Hassan ,aaamin aaaaamin aaaaamin aaaaamin !!

#Kiongozi mkuu wa nchi ni TUNU na ROHO ya taifa letu !!
 
Ndg mwandishi unawezaje kuzungumzia miradi ya mwaka 2022 katika report inayohusu mwaka wa fedha wa 2024/2025?
Hzo habari za SGR na Bwawa la Nyerere zilishatengewa bajet yake tangu enzi hzo
Sasa uchambuzi wako ilitakiwa uguse yaliyofanyika kwa miezi 12 iliyopita tu
 
Back
Top Bottom