Ufafanuzi juu ya uteuzi wa namna hii unaoleta mijadala: Aliyestaafu ameteuliwa kumrithi aliyestaafu kuwa mstaafu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
 
Waache wapumzike,wanasinzia tuu!
 
Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
Mbona imeeleweka mkuu

Jaji kateuliwa ,jaji aliekuwa mwenyekiti amestaafu

Hao ni majaji wastaafu wote ila wastaafu wa utumishi wa uma wanatumikia kama wenyeviti kwenye mashirika kutokana na uzoefu wao
 
Watumishi wa uma na wafanyakazi wa mashirika ya uma wanatoka nchi tofauti?
 
Mbona imeeleweka vizuri tu kwamba wote wawili ni majaji wastaafu..baadae mmoja wapo akateuliwa na rais kuwa mwenyekiti wa bodi na hicho cheo cha uenyekiti wa bodi kina muda maalum unapaswa kushika vipindi viwili tu inaweza kuwa miaka 3-5 kutegemea na muongozo wa shirika au taasisi then unastaafu huo uenyekiti wa bodi unampisha mwingine na ndio hapo ameteuliwa huyo jaji mstaafu mwingine ashike uenyekiti wa bodi..kama tunavyojua kuna rais mstaafu,waziri mkuu mstaafu,spika mstaafu..basi elewa na hio jaji mstaafu ni title kama za hao wengine hivyo huo uteuzi uliosema hapa ni mstaafu jaji(title)amestaafu kuwa mwenyekiti wa bodi hivyo basi mstaafu jaji mwingine(title)ameteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa bodi..
 
Back
Top Bottom