Mbona imeeleweka vizuri tu kwamba wote wawili ni majaji wastaafu..baadae mmoja wapo akateuliwa na rais kuwa mwenyekiti wa bodi na hicho cheo cha uenyekiti wa bodi kina muda maalum unapaswa kushika vipindi viwili tu inaweza kuwa miaka 3-5 kutegemea na muongozo wa shirika au taasisi then unastaafu huo uenyekiti wa bodi unampisha mwingine na ndio hapo ameteuliwa huyo jaji mstaafu mwingine ashike uenyekiti wa bodi..kama tunavyojua kuna rais mstaafu,waziri mkuu mstaafu,spika mstaafu..basi elewa na hio jaji mstaafu ni title kama za hao wengine hivyo huo uteuzi uliosema hapa ni mstaafu jaji(title)amestaafu kuwa mwenyekiti wa bodi hivyo basi mstaafu jaji mwingine(title)ameteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa bodi..