Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho.

Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu ninaye mwingine humu ninayemwita mpenzi Seif Khatibu pia akasema kauli yake isilete mtafaruki kwenye familia yake.

Je, kuna anayefahamu kama huwa anamwita mpenzi Seif na ni kwanini mna nimeona wengi wakiacha midomo wazi mana ni ngumu kumeza. Na pale mwisho mumewe alitaka kushow love kwa kumbebea mkoba akanyanganya mana ni kama walivutana huu si uongo ni live na mashahidi mmeona sijatunga.

Tafadhali najua hapa JF hakushindwi kitu hata kama hayatuhusu lakini tujue kidogo.

Aksante.
 
Hakika kauli yako ni sahihi na hiyo ndio hali halisi iliyojiri whitehouse muda mfupi uliopita.
 
Nami sukuelewa, akija mtu akatuelea ni kitu gani labda hilo litakaa sawa.
 
Wachani mambo ya watu,angekuwa mpenzi wake angesema hadharani?utani Ty naomba funga mjadala
 
Mi sijui........nilimsikia tu JK akisema.........konokono na nyumba yake............JK bana.........
 
Mhhh!!! Watu wazima wanafanya ya kiutuuzima. Hamnashida
 
Ilikua ni utani tu..kuna wajumbe walikua wanasinzia..alijaribu kuwaamsha..
 
Hah kumbe migiro ana mchepuko wa waziwazi, yaaani wa mapenzi niue nigaragaze!
 
Ki ukweli hata mimi kanikwaza sana kwa kali ile, eti huyu ni mume ila yupo mpenzi wake, sasa kwanini kamsimamisha baba wa watu mbele na kumtajia hawara yake live, hamna utani wa kiivyoo, bora hakuteuliwa kuwa mgombea mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…