Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho.
Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu ninaye mwingine humu ninayemwita mpenzi Seif Khatibu pia akasema kauli yake isilete mtafaruki kwenye familia yake.
Je, kuna anayefahamu kama huwa anamwita mpenzi Seif na ni kwanini mna nimeona wengi wakiacha midomo wazi mana ni ngumu kumeza. Na pale mwisho mumewe alitaka kushow love kwa kumbebea mkoba akanyanganya mana ni kama walivutana huu si uongo ni live na mashahidi mmeona sijatunga.
Tafadhali najua hapa JF hakushindwi kitu hata kama hayatuhusu lakini tujue kidogo.
Aksante.