Ndio shida ya kuleta kauli za kwenye kitchen party kwenye mkutano muhimu kama huu, matokeo yake unawapa watu nafasi ya kuongelea non issues.., unless alikuwa anataka kubadilisha mjadala watu wasiongelee percent tatu alizopata
Naona kura za maruhani zimemwangusha sana dada yetu angeza kuwa # 2, ni maoni tu.