Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Ndio shida ya kuleta kauli za kwenye kitchen party kwenye mkutano muhimu kama huu, matokeo yake unawapa watu nafasi ya kuongelea non issues.., unless alikuwa anataka kubadilisha mjadala watu wasiongelee percent tatu alizopata

Naona kura za maruhani zimemwangusha sana dada yetu angeza kuwa # 2, ni maoni tu.
 
Hotuba ya Asharose imekaa vizuri na kila kitu kafanya vizuri, na nimeipenda sauti na utulivu wake, kuhusu mkoba alikuwa kausahau na aliona si heshima kubebewa mkoba na mumewe,
Asharose KATISHAAAA......
 
Sasa kama angepitishwa yeye, watu si wangekua wanaenda jipigia tu state house !! Utani gani ule?
 
Mi sijui........nilimsikia tu JK akisema.........konokono na nyumba yake............JK bana.........

JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.

Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".

Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.
 
Save your breath, that's a minor thing mwachie mumewe Prof Migiro watamalizana nae, vinginevyo ingia tovuti ya Bunge: parliament.go.tz utapata namaba ya simu ya Asha-Rose umpigie umuulize. Ukikosa nipm nikupe! Angaika na na sera sio mambo ya watu, Ni UMBEA uchwara!

Aisee! Na wewe save your breath mkuu, mleta thread hatarudia ukuda wake baada ya kusoma comment yako!
 
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.

Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".

Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.

Mkuu maneno yako yako ni ya kishupavu sana! The spot is Nailed!
 
Binafsi sikuona seriousness mle ndani! Uteuzi mzima umekuwa attached na strings za Msoga!
 
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.

Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".

Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.

Hiyo si ndo style yake JK iliyompatia umaarufu?
analeta vionjo vya wattu wa pwani...
anafanya Urais usilete 'hofu' kwa watu...

Huoni ni mambo yanayo endana na culture zetu?
Mila na destui zetu zina mizaha na masihara hadi misibani
JK alikuwa anapunguza tension ya zoezi husika kwa mizaha kidogo
 
usikute wana utani unaokaribia na ukwel., mi mwenyewe sijang'amua lakn naendelea kupembua
 
Yule mama si mtu wa Songea?

..kwao ni usangi mwanga kilimanjaro.

..tena ni mtoto wa Chifu/Mfumwa Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa.

..baba yao alifariki wakiwa na umri mdogo hivyo wamelelewa na mama yao ambaye ni mtu wa pwani.

cc AudiG7
 
Last edited by a moderator:
Kwako wewe lakini kwa wengine alichotamka ni kashfa kubwa sana. Hata kama unataka kufanya unataka utani hadharani lazima uwe makini vinginevyo hutaeleweka na jamii iliyokuzunguka. Si kila utani unastahili kutumika hadharani.

Sidhani kama ni big deal kihivyo labda tu ikuzwe
 
Back
Top Bottom