Ndio shida ya kuleta kauli za kwenye kitchen party kwenye mkutano muhimu kama huu, matokeo yake unawapa watu nafasi ya kuongelea non issues.., unless alikuwa anataka kubadilisha mjadala watu wasiongelee percent tatu alizopata
Utani wa mpenzi kwenye hadhara kama ile? Kavurunda sana kwa kuropoka.
Hizo ni jokes tu za kunogesha
unafikiri ingekuwa kweli angethubutu?
Mi sijui........nilimsikia tu JK akisema.........konokono na nyumba yake............JK bana.........
Save your breath, that's a minor thing mwachie mumewe Prof Migiro watamalizana nae, vinginevyo ingia tovuti ya Bunge: parliament.go.tz utapata namaba ya simu ya Asha-Rose umpigie umuulize. Ukikosa nipm nikupe! Angaika na na sera sio mambo ya watu, Ni UMBEA uchwara!
Then she is reckless and does not deserve to be in the cabinet, let alone the presidency.
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.
Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".
Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.
Huna shughuli za kufanya wewe? Acha mambo private ya Watu. FANYA yako.
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.
Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".
Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.
mpare na mzanzibar si watani hata kidogo
Yule mama si mtu wa Songea?
Sidhani kama ni big deal kihivyo labda tu ikuzwe