Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Mie nlilala
Nikaacha hutuba ikijirikodi baadae ntaicheck kiundani
 
Huyo bibi naye si angebakia huko UN ungekuta anapiga hela hata jk hakamati lakini CCM imemuachisha kazi yake ya maana anakuja kugombania vijiubalozi na viuteuzi vya kipumbavu.
Bak-in-Moon alimfyatua sio JK wala CCM waliomuita
na Cheo kile kina muda wake
Pili sijamfurahia anavyotudanganya mara ni Mpare wa Usangi mara ni Mtengeti wa songea hili nalo la kabila lingetatuliwa Heloo
 
Seif khatib ni mtu Wa masihara sana watu wengi wanapenda kutaniana nae,na jamaa wametoka mbali sana na jakaya,toka enzi za umoja Wa vijana seif alipokua mwenyekiti Wa kwanza Wa umoja huo toka Zanzibar,hata huyu amina salum ali pia walikua wote huko
 
Manatafuta cha kukosoa hakipo ila mnakitengeneza kwa nguvu na uhodari mlio nao '
 
... Hamjui kusoma taarifa kabisa. Pale Seif Katibu ametumika tu. Hata Mke Wa Seif .. anajua kuwa Migiro alikuwa anamlenga nani.. !

Michezo Ya Kijinga Hadharani ... !
 
Huyo bibi naye si angebakia huko UN ungekuta anapiga hela hata jk hakamati lakini CCM imemuachisha kazi yake ya maana anakuja kugombania vijiubalozi na viuteuzi vya kipumbavu.

Kule alipwaya akaja nyumbani kujaribu bahati yake.
 
Kama kuna mwanajanvi aliefuatilia hotuba ya Asha Rose ilikuaje amwambie seif Hatibu ndo mpenzi wake na sio mumewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…