Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bak-in-Moon alimfyatua sio JK wala CCM waliomuitaHuyo bibi naye si angebakia huko UN ungekuta anapiga hela hata jk hakamati lakini CCM imemuachisha kazi yake ya maana anakuja kugombania vijiubalozi na viuteuzi vya kipumbavu.
Huna shughuli za kufanya wewe? Acha mambo private ya Watu. FANYA yako.
nakumbuka mbona hata dr. aisha kigoda alimuuita seif khatibu mpenziwake sasa sielewi huyu mzee vipi
https://www.jamiiforums.com/mahusia...seif-khatibu-watangaza-penzi-lao-bungeni.html
YA wanandoa waachie wanandoa ... wewe hayakuhusu .....!! Fanya yako
Huyo bibi naye si angebakia huko UN ungekuta anapiga hela hata jk hakamati lakini CCM imemuachisha kazi yake ya maana anakuja kugombania vijiubalozi na viuteuzi vya kipumbavu.
Alikua anatania
Umejuaje?
Alininong'oneza
Alininong'oneza
mmmh.....kumbe nawewe ulikuwepo eneo la tukio?