Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Ass hole, kuna ubaya kulipwa pesa yako yote?wewe utakuwa umerogwa! Yaani kulipwa mkwanja wako wote ni jambo baya!
Ukisha lipwa kiinua mgongo, hakuna pesa inayo baki kwenye mfuko ambayo wewe umechangia.
Achana na mpango wa pensheni ya kila mwezi, kama unataka pesa yako yote. ( Maana pesa yako yote umesha lipwa kwenye kiinua mgongo )
 
Hii habari ya mfuko uweze kujiendesha ndiyo inawaumiza watu, fedha zinawekezwa kwenye madude yasiyo na maslahi kwa wanachama mwisho wa siku wanaishia kuumia na kufa kwakuwa kuna genge la wahuni wanacheza kamari na hayo mafao ya watu
Nani anakufa...!?
 
Wabunge sio wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii, PSSSF/NSSF na hawalipwi na NSSF/PSSSF..
 
Hujashuhudia wastaafu wakifa kwa kupata mshituko baada ya mafao yao kuyumbishwa
Mtumishi wa serikali anachakia 5% kutoka kwenye mshaara wake kwaajiri ya pensheni, asilimia zaidi 90% ya mshaara wake anabaki nao.

Kwa level ya mishaara ya Tanzania ni nadra sana kumkuta mtu kachangia kwenye mifuko zaidi ya Million 60 kwenye kipindi chake cha utumishi, kama wewe mtumishi kaangalie contribution statement yako mpaka leo umechangia kiasi gani, wewe + muajiri.

Mara nyingi kiinua mgongo ni zaidi ya kile alicho changia kwenye mfuko, kwaiyo akilipwa kiinua mgongo hakuna fedha yake inayo baki kwenye mfuko.. ile monthly pension inakuwa inatoka kwenye mfuko.

huyu aliye kufa ni wale walio tumia 90%+ ya mshaara wao kwenye starehe, huku wakitegemea 5% ya mshaara wao uje kutumiza malengo yao yote hapa duniani
 
na jingine mbona hiyo formula haizingatii umri wa mtu kwenye ajira. maana inaangalia wastani wa mishahara ya miaka 10 tu ambayo maana yake mtu aliyefanya kazi kwa miaka 30 atakuwa hana tofauti ya maslahi yake ya mwisho na yule alifanya kazi kwa miaka 15 na pengine kama huyu wa miaka 15 alikuwa na mshahara mkubwa basi atamwacha mbali sana huyo wa miaka 30 au hilo likoje? nini kitakachowatofautisha hao watu wawili kwenye maslahi watakayopata?
 

Acha ujinga, na jifunze kuacha upumbavu as well, wewe hujui kitu hata kidogo, kwa taarifa yako kilichofilisi mifuko sio formula ya zamani hata kidogo, inaonyesha wewe hata husomi sbb kuu za upotevu wa fedha kwenye mifuko ya jamii, sbb wewe ni kichwa maji hujui kitu nikupe taarifa hii from CAG, unatia hasira sana wewe kichwa maji.

1: Sbb kuu ya upotevu mkubwa wa fedha za wastaafu katika mifuko ya jamii kutokana na taarifa ya CAG ni Serikali kukopa hela trillions na haijarejesha fedha hizo katika mifuko husika kwa miaka mingi, na sio formula, umeelewa wewe kichwa maji ambaye hujui kitu hata nukta, sbb sio formula

2: Mifuko ya Jamii iliwekeza katika miradi ya hasara mikubwa mfano maghorofa makubwa makubwa yakijengwa ambayo mengi hayajarudisha hiyo investment, na sio formula ya zamani umeelewa wewe kichwa maji? Unajua majengo makubwa sana hasa Dar na miji mingine, of which haina kabisa ROI in business sense..!! Poor investment and not the formula, umeelewa wewe kichwa maji

3: Mifuko ja Jamii iliwekeza katika bank ya Azania na kama hujui bank ya Azania inamilikiwa na 98% na mifuko ya Jamii, PSSSF, NSSF and NHIF, sasa bank hii juzi umesikia ina mikopo chechefu ya mabilioni yaani juzi wametoa katika magazeti, na mikopo chechefu in billions ni hela za wastaafu, meaning hela za wastaafu zimewekwa bank ambayo usimamizi wa mikopo ni mbovu sana na kupata mikopo chechefu yaani isiyolipika na wanashitakiana mahakamani, unajua kwanza maana ya mikopo chechefu? So fedha za wastaafu zinapotea sana hivyo thru Azania Bank na kamwe sio sbb ya formula ya zamani, umeelewa wewe kichwa maji, maana huelewi kitu hata nukta..

Mifuko ya Jamii duniani kote ni nadra sana kufilisika, mfano mifuko ya Bima yoyote ile kufilisika ni ngumu mnoo, ni uzembe mkubwa sana ikitokea imefilisika sbb yenyewe ni kupokea hela tu na matumizi ni madogo mnooooooooo na fedha unaweza lipa wastaafa hata kwa riba tu na principal unabakiwa nayo, like wise Mifuko ya wastaafu kufilisika ni ngumu mnooo, so sio formula ni vitu vingine kama poor management, wizi na mikopo chechefu billions, sio formula hata kidogo umeelewa wewe 🐗🐗

So acha kuelezea mambo ambayo hujui hata kidogo, alafu unaleta habari za kutaka wastaafu waumizwe kwa haki zao, acha huo upuuzi..!!


View: https://youtu.be/IdUMzHHKHw4?si=XTS-51ZAyo4sUnXg
 
Serikali inajaribu kuwajari watumishi wake lakini watumishi wenyewe sasa🙆‍♂️
 
mkuu DOMINGO THOMAS kwanini mnapost haya mambo muhimu kwa maslahi ya maisha ya wengi kwa kutumia akaunti za uchepe?

kwanini msitumie akaunti rasmi ya ofisi? mbona taasisi mbalimbali zina akaunti humu? nyinyi mnaogopa nini? kwanini mnakaa nyuma ya vivuli vyenu?

na je haya majibu mnayotoa hapa kwa hizi akaunti za uchepe yanawezaje kuchukuliwa kwa u-serious kama ndio msimamo wa ofisi?
 
huyu aliye kufa ni wale walio tumia 90%+ ya mshaara wao kwenye starehe, huku wakitegemea 5% ya mshaara wao uje kutumiza malengo yao yote hapa duniani
Ni wale waliosumbuliwa hapo katikati mfuko ulipofilisika
 
Hicho kikokotoo ni Kwa watumishi wa hali ya chini tu, vipi diwani, mkuu wa wilaya,mkoa, wazri mbunge. Inamaana wao tu ndo wenye akili za matumizi ya pesa
 
Wasio pensionable ni wepi tena?
Wasio pensionable ni kizazi cha sasa ambacho hakina ajira zenye ujira...., uzee wao tutakuwa hatuongelei wanapata kidogo bali watakuwa hawapati kabisa
Wasio pensionable are out of this discussion.
Hapana tena hao ndio wa kuwaongelea sababu pension zingekuwa hazina faida kwa taifa hata hawa wa sasa sheria insingepitishwa ya kukatwa percent yako kwa lazima na mwajiri kulazimishwa kukuongezea ili uzeeni upate security...., Na kuna nchi hakuna kabisa kiinua mgongo wewe ukifikia miaka kadhaa sababu ulikatawa national insuarance directly unaingia kwenye pension...., hio sio kwa faida yako tu bali ni kulinda ustawi wa jamii

Kwahio sasa hivi kuwepo kwa watu ambao kesho yao hawana security ni hatari kwa taifa zima
Issue iliyopo ni kuwa pesa ya mifuko imewekezwa sehemu isiyolipa na nyingine imeliwa, hawana uwezo wa kulipa
Pension funds hazihitaji kucheza kamari au kuwekeza kwenye volatile investments..., shida kuna watu hapo katikatika walijiwekea marupurupu na kujipa pesa za unono zaidi ya uwezo wa uwezo wa mfuko kulipa watu..., ofcourse hio ni pamoja na ufujaji mwingine..., lakini kutenda kosa moja hakufanyi tufanye makosa mengine, na mimi nasimamia palepale pesa ya kila mwezi kwa mstaafu angalau inayokidhi basic needs ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa...., kwa bahati mbaya ukifa kabla haujavuta yote wengine watakaoishi zaidi watafaidi ila mnufaika zaidi ni jamii iliyokuzunguka kutokupigwa mizinga.....
 
asante mkuu.

sasa apo kwanini mmepunguza umri wa kuishi wa mstaafu baada ya kustaafu kutoka miaka 15.5 hadi hiyo 12.5? ni kwamba mmegundua hawakatizi hiyo miaka 12.5 au ndo mnataka wawe wanakufa wakifika hiyo miaka 12.5?
Hii haiwekwi tu, kinacho angaliwa ni uwezo wa kuishi Tanzania ni 67 - 72.5 pitia uko Data utaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…