Acha ujinga, na jifunze kuacha upumbavu as well, wewe hujui kitu hata kidogo, kwa taarifa yako kilichofilisi mifuko sio formula ya zamani hata kidogo, inaonyesha wewe hata husomi sbb kuu za upotevu wa fedha kwenye mifuko ya jamii, sbb wewe ni kichwa maji hujui kitu nikupe taarifa hii from CAG, unatia hasira sana wewe kichwa maji.
1: Sbb kuu ya upotevu mkubwa wa fedha za wastaafu katika mifuko ya jamii kutokana na taarifa ya CAG ni Serikali kukopa hela trillions na haijarejesha fedha hizo katika mifuko husika kwa miaka mingi, na sio formula, umeelewa wewe kichwa maji ambaye hujui kitu hata nukta, sbb sio formula
2: Mifuko ya Jamii iliwekeza katika miradi ya hasara mikubwa mfano maghorofa makubwa makubwa yakijengwa ambayo mengi hayajarudisha hiyo investment, na sio formula ya zamani umeelewa wewe kichwa maji? Unajua majengo makubwa sana hasa Dar na miji mingine, of which haina kabisa ROI in business sense..!! Poor investment and not the formula, umeelewa wewe kichwa maji
3: Mifuko ja Jamii iliwekeza katika bank ya Azania na kama hujui bank ya Azania inamilikiwa na 98% na mifuko ya Jamii, PSSSF, NSSF and NHIF, sasa bank hii juzi umesikia ina mikopo chechefu ya mabilioni yaani juzi wametoa katika magazeti, na mikopo chechefu in billions ni hela za wastaafu, meaning hela za wastaafu zimewekwa bank ambayo usimamizi wa mikopo ni mbovu sana na kupata mikopo chechefu yaani isiyolipika na wanashitakiana mahakamani, unajua kwanza maana ya mikopo chechefu? So fedha za wastaafu zinapotea sana hivyo thru Azania Bank na kamwe sio sbb ya formula ya zamani, umeelewa wewe kichwa maji, maana huelewi kitu hata nukta..
Mifuko ya Jamii duniani kote ni nadra sana kufilisika, mfano mifuko ya Bima yoyote ile kufilisika ni ngumu mnoo, ni uzembe mkubwa sana ikitokea imefilisika sbb yenyewe ni kupokea hela tu na matumizi ni madogo mnooooooooo na fedha unaweza lipa wastaafa hata kwa riba tu na principal unabakiwa nayo, like wise Mifuko ya wastaafu kufilisika ni ngumu mnooo, so sio formula ni vitu vingine kama poor management, wizi na mikopo chechefu billions, sio formula hata kidogo umeelewa wewe 🐗🐗
So acha kuelezea mambo ambayo hujui hata kidogo, alafu unaleta habari za kutaka wastaafu waumizwe kwa haki zao, acha huo upuuzi..!!
View: https://youtu.be/IdUMzHHKHw4?si=XTS-51ZAyo4sUnXg